Ronaldinho To Milan - Official

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,882
10,191
"AC Milan and FC Barcelona have reached an agreement for the transfer of Ronaldinho.

"Tomorrow, the player will be in Milan for the medical, and to sign the contract which will tie him to Milan until June 30th 2011."

This announcement brings to an end months of speculation over the Brazilian's future.

He had been on the outer at Barcelona pretty much since El Clasico in December, with his private life, his fitness and his bulging waistline making more headlines than his performances on the pitch.

Barcelona boss Frank Rijkaard, always one to back him given what they had achieved together, had to drop him due to his dropping fitness levels, and once Pep Guardiola was announced as the new coach in early May, a summer exit for the two time World Player of the Year was only a matter of time.

Chelsea and Milan were the early frontrunners, with the player himself expressing a desire to team up with Luiz Felipe Scolari once again last month. However, Big Phil was not too keen, and Manchester City subsequently came into the fray.

But with Chelsea out, there was only going to be one winner, and that had been clear for two weeks now. City had a superior financial offer for Barca, but as with many things these days, the player's will had the final say and a deal was struck with Milan after intense negotiations between Adriano Galliani, Joan Laporta and Roberto de Assis.

During his five years in Spain, Ronaldinho won two La Liga titles (2004-05, 2005-06), one Champions League (2005-06), the World player of the Year award twice (2004, 2005), and the Ballon d'Or (2005).

He leaves on a low, but when the dust settles, he will go down as one of the best to ever play for Barcelona - as much for what he won as for the way he heralded a new era for the club following the collapse of Real Madrid's 'Galactico' policy.

Some of his best displays also came on the biggest of stages - a sensational left footed strike against Milan in the Champions League in 2004, two more against Chelsea at Stamford Bridge that almost saw Barcelona through single handedly later that season, and then that sublime assist for Ludovic Giuly at San Siro a year later - which guaranteed Barcelona's progress to the final.

However, perhaps the crowning moment was his stunning showing at the Santiago Bernabeu in 2005, when he got a standing ovation from the Real Madrid fans after two goals and a mesmerising display of football in a 3-0 win.

The challenge for Milan now will be to get the player back to peak fitness, before we even speak of form. He still has the magic in his feet as we saw from his two goals on his return to football a couple of weeks ago, but whether he can roll back the years and offer the Rossoneri the kind of service he did to Barcelona, remains to be seen. His ability against rigid Italian defenses will also be tested to the limit.

It will also be very interesting to see how he fits into the team, and whether Ronaldinho, Kaka, Alexandre Pato, Andrea Pirlo and Clarence Seedorf (who has openly opposed this move) can play together.

Barcelona, in the meantime, are expected to announce the signing of Aliaksandr Hleb, with Arsenal seemingly having given the nod following the signing of Samir Nasri from Marseille.


KWELI HAWA JAMAA WA ROSSONERI HAWATAKI UTANI
 
ronaldinho anapendezea kuwa pale. ukweli ni kuwa akikaa na mastaa mfano kaka, gatuso, pirlo, pippo, pato, serdolf, maldini, nesta dah naweza kuhamia next season
 
starting xi
1.DIDA
2.ZAMBROTA
3.MALDINI
4.KALADZE
5.NESTA
6.FLAMINI
7.SEEDORF
8.PIRLO
9.PATO
10.KAKA
11.RONALDINHO

Naona zama za INTER zinakwisha MOURINHO kazi unayo
 
dida hana namba siku hizi kadrop kiwango,bado milan wamejaa mno wakongwe inatakiwa waongezeongeze kidogo damu mpya

Najua no one ni KALAC but DIDA ana uzoefu kuliko KALAC
Kuhusu damu changa kwa wataliano ni kawaida kujaza vibabu lakini kuna PATO ,PALOSCHI& FLAMINI
 
belo ulipokipanga kikosi cha milan ilibidi nimuite kijana aniletee miwani coz nilimtafuta myahudi aliyechanganya damu anaitwa ivan gennaro gattuso lakini sikumuona sijui atakuwa injuly for all season au?
naomba maelezo ya kina kama ikikupendeza tafadhali.
 
na yule mtu mwenye kuongoza kwa kuwa na offside vp sikumuona kundini....kumbuka milan wanaamini umri kuliko hivyo mnavyowaza.
 
belo ulipokipanga kikosi cha milan ilibidi nimuite kijana aniletee miwani coz nilimtafuta myahudi aliyechanganya damu anaitwa ivan gennaro gattuso lakini sikumuona sijui atakuwa injuly for all season au?
naomba maelezo ya kina kama ikikupendeza tafadhali.

GATUSO alikuwa mchezaji muhimu sana wa AC MILAN but kuanzia last season jamaa alichemsha hadi MILAN walitaka kumuuza but amekuja FLAMINI ambaye anacheza kama GATUSO wa wakati ule
FLAMINI alimfunika GATUSO kwenye Champions League last season
kuhusu PIPO INZAGHI huyo yupo na ana game zake special hao watoto wakishindwa yeye anakuja kumaliza kazi
 
GATUSO alikuwa mchezaji muhimu sana wa AC MILAN but kuanzia last season jamaa alichemsha hadi MILAN walitaka kumuuza but amekuja FLAMINI ambaye anacheza kama GATUSO wa wakati ule
FLAMINI alimfunika GATUSO kwenye Champions League last season
kuhusu PIPO INZAGHI huyo yupo na ana game zake special hao watoto wakishindwa yeye anakuja kumaliza kazi

belo ukumbuke italy pia hawana mfumo wa kulea mtoto wa mwenzie wakati wake yuko benchi, so it means and by any means gattuso atacheza tu, na pippo pia still ataanza coz hata wewe mwenyewe umekiri wataliano wanaamini katika umri.
 
starting xi
1.DIDA
2.ZAMBROTA
3.MALDINI
4.KALADZE
5.NESTA
6.FLAMINI
7.SEEDORF
8.PIRLO
9.PATO
10.KAKA
11.RONALDINHO

Naona zama za INTER zinakwisha MOURINHO kazi unayo
Ronaldo de lima wapi? si yuko Milano huyo...
 
kasheshe iko kugombea namba kwenye midfielder
GATUSO,AMBROSINI,EMERSON,FLAMINI,SEEDORF,PIRLO,KAKA,RONALDINHO
lakini KAKA na GAUCHO wanaweka kucheza kama strikers
 
Kashachoka jamaa ana bonge la kitambi ni bora akatafuta ustaarabu mwingine
ronaldo%20ac%20milan%20450%20x%20318.ashx

hiki bado kifaa hatari huwa watu wanakata tamaa nae anaibuka kama uyoga.......na believe me atachukua namba tu milan hao madogo akina pato watasugua benchi...mzoefu huyu
 
starting xi
1.DIDA
2.ZAMBROTA
3.MALDINI
4.KALADZE
5.NESTA
6.FLAMINI
7.SEEDORF
8.PIRLO
9.PATO
10.KAKA
11.RONALDINHO

Naona zama za INTER zinakwisha MOURINHO kazi unayo

Rasilimali bila usimamizi ni umaskini
 
Labda Brazil But Sio Milan
 
Last edited:
na hizi timu zinazomilikiwa na watu binafsi zina tabu yake.
mchezaji anaweza kuwa yuko out of form but bosi jukwaani anafurahishwa na mahusiano nae basi atapangwa tu...mmmmh lakini sijui kwa belusconi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom