Ronaldinho Not Dead – Fake Death Report on Brazilian star stirs sadness | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ronaldinho Not Dead – Fake Death Report on Brazilian star stirs sadness

Discussion in 'Sports' started by Candid Scope, Sep 3, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Ronaldinho is not dead or a very dead Ronaldhinho plays ball at Atletico Mineiro Internancional Brasil Seria A game. Ronaldhinho dead in car crash news is a hoax.


  The soccer star of Atlético Mineiro is the latest celebrity victimized by a fake death tale involved in a fatal car crash this week. But Ronaldinho might very well be the first soccer star to be the subject of a fabricated death story in recent months.
  Ronaldinho not dead , journalism ethics are !

  Ronaldinho is currently the subject of two fake death stories today. One originates from Necropedia. The other is from Media Fetcher aka Global Associated. Both fabricated stories are completely erroneous and angering fans today. Their aim was to bolster hits via Twitter traffic. Global Associated and Nekropedia you both are worthless scums of Internet media.
  The first fake death story originates from peculiar website Necropedia. The story’s title reads “Ronaldinho is dead” but then the subtitle reads that he is “anticipated” to have died. If that’s not confusing enough, the body of the fake tale reads “Death of Ronaldinho …He died on September 4, 2012, at the age of 32.” But then in another sentence it proclaims ‘no one has died’. What the hell babafingo?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
  Juzi juzi pia walimzushia yule Bill Cosby kwamba karudisha namba....he is still alive and very healthy.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hizi biashara za mitandao zinaleta kizazaa saba,

  Kuna jamaa mmoja amenitumia ujumbe kama dakika 10 zilizopita kwamba blog fulani ya tanzanai imetangaza kuwa Ronaldinho amekufa, nikashangaa vyanzo vikubwa vya habari havijasema lo lote kuhusu hilo jambo hili limekuwaje huku pembezoni wawe na habari ya mtu kama huyo ambaye ana jina kimataifa na vyombo vikubwa vya kimataifa visijue?

  Nikaamua ku-browse na kila nikaojaribu nakutana na habari za kutangaza uzushi huo kwamba ni wongo mtupu. Sipendi habari za kusikia bora ambazo zimekuwa pubshed na vyombo vyenye kujijengea heshima za kweli. Sijajua ni blog gani Tanzania yenye fake news kama hizo, jaribu kufanya utafiti utaipata, kwa vile sina muda wa kufanya hivyo kwa sasa hivil
   
 4. sirdelta

  sirdelta JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 286
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Na Eddy Murphy ... Hawa waandishi bora waende iringa wakapigwe mabomu .......
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hamna news channel zinazojua breaking news kama za uk so hata mi nilivoona bill cosby nikaingia kwenye news channel hamna kitu nikajua fix...bongo hawawezi kua na breaking news ya namna hiyo afu ulaya hawana...watu wakishapiga bangi zao za mchana basi wanakuja tu kulianzisha hapa
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Khaa hii mitandao itatupa heart attack!!! Kama ambazo JF inawafanya watu wasilale ikiwemo mimi. Nikitaka breaking news tu nagonga hapa!!! Na kama nisipoipata ikitokea pengine huwa siamini ni mpaka nione hoja hapa!! Ngoja niondoke sasa. Good night all.
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata Bi Kidude naye aluzushiwa
   
Loading...