Ron Paul: Marekani haiiwezi kivita Jamhuri ya Kiislamu ya Iran | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ron Paul: Marekani haiiwezi kivita Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Discussion in 'International Forum' started by MpigaKura, Jan 10, 2012.

 1. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Ron Paul: Marekani haiiwezi kivita Jamhuri ya Kiislamu ya Iran[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD][​IMG]Ron Paul anayewania kuteuliwa na chama cha Republican cha Marekani kugombea urais nchini humo amesema kuwa, Washington haiiwezi kivita Tehran na haiwezi kugharamia vita kati yake na Iran.
  Pia amewataka viongozi wa Marekani waache uadui wao dhidi ya Tehran na watafute njia za kidiplomasia kuamiliana na Iran.
  Vile vile amevilaumu vyombo vyahabari vya Marekani kwa kuwatangazia habari za uongo wananchi wa nchi hiyo kuhusiana na lengo la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran la kufunga Lango Bahari la Hormuz.
  Amesema, vyombo vya habari vya Marekani havipaswi kupiga makelele ya kiuchaguzi dhidi ya Iran na kusema kuwa baadhi ya habari zinazotangazwa na vyombo hivyo kuhusu lengo la Iran la kuanzisha vita dhidi ya Marekani kupitia kufunga Lango Bahari la Hormuz, hazina ukweli.
  Vile vile amekumbushia jinsi Marekani ilivyovamia Iraq kwa kutegemea taarifa za uongo za kuweko silaha za mauaji ya umati nchini humo na kuvitaka vyombo vya habari vya Marekani visiwapotoshe wananchi wa nchi hiyo.
  Hivi karibuni pia Paul anayewania kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican cha Marekani alisema kuwa Iran si tishio, tofauti na jinsi vyombo vya habari vya Magharibi vinavyojaribu kuwaonesha walimwengu.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Where is the source? Hata Obama naye alikuwa hapendi vita, ila waliomuweka madarakani ni wale wale wapenzi wa vita. Soko lao linapatikana kama kunatokea vita
   
 3. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Anatafuta u-Rais wa USA kufanya nini kama ni mwoga kama watawala wa Kiafrika? Huyo hafai.
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ukiwa rais wa usa,swala la vita huwezi likwepa
  huyu anazungumza kwa kuwa yupo nnje ya system
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,523
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  wamarekani wasipoenda vitani ajira zitatoka wapi?
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwa namna moja ama nyingine yuko sahihi,
  Lakini je, Inawezekana kweli kutafuta suluhu ya kidiplomasia na Iran?
  Manake uzoefu unaonesha kuwa Iran siyo tishio kwa Marekani bali kwa Israel,
  Je Marekani atakubali kuona Rafiki yake mkuu Israel akiishi kwa wasiwasi kwa sababu ya Ki Iran?
   
 8. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo amekosea, hawezi kupata kura kwa wamarekani. Anapoteza tu muda wake, na ninadhani mpaka sasa alishafahamu ndiyo muda wake wa kutoa pumba zake maana hakuna atakaye msikiliza hapo baadaye.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hakuna nchi kwa sasa inayoiweza Marekani katika conventional warfare
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaaani huyu kishashindwa uchaguzi rais gani muoga kama kafulila anakimbilia kupiga magoti
   
 11. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Jamaa anakosea kuifananisha kijeshi Iran na America! anatafuta kuungwa mkono no waislamu na waarabu lakini anasahau kwamba idadi yao still ni ndogo sana! Mwamuzi wa mwisho mpaka sasa ni Beijing, kama wakiiunga mkono USA, basi Tehran lazima ishuhudie kitimtim
   
 12. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,848
  Trophy Points: 280
  Huyu uzee tu ndio unaomsumbua...
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Merakani inapigwa kama mtoto na Israel; in fact america ni corporate state inayoendeshwa kwa faida ya waisrael
   
 14. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyu babu mnamdharau uliza matokeo ya hivi karibuni masaa machache yaliyopita hapo New Hampshire kashika nafasi ya ngapi,babu ana msimamo mkala sana toka wamzo wa kampeni kuhusu uchokozi chokozi wa marekani,na anasema marekani iache kuidekeza israel na kuingilia ingilia kila ugomvi wa israel,iiache israel isimame yenyewe kwa kuwa ina uwezo na pia haifanyi biashara yeyote na israel so haoni sababu ya kujipendekeza kwao!

  Ron Paul Educates Rick Santorum on Iran During Ames Iowa Debate - YouTube
   
 15. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hauko serious wewe.
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tatizo kuna watu ukiitaja tu israel wanaingiza ushindani wa kidini!
   
 18. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,848
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe kweli unadhani huyu babu kwa miujiza awe rais wa Marekani unafikiria anaweza kuyafanya hayo anayoyasema majukwaani....Thubutu yake!.
   
 20. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
Loading...