Romney apata kibarua kipya

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
th

Baada ya kuangukia pua kwenye uchaguzi wa rais nchini Marekani,mgombea Mitt Romney amerejea tena kwenye kazi zake za kuendesha makampuni ya biashara. Taarifa zilizopo ni kwamba Romney anakwenda kujiunga na bodi ya uendeshaji wa kampuni ya Marriot.Kwa habari zaidi GONGA hapa
 
Back
Top Bottom