Rombo: Mwili wa Kijana Godwin Massawe wakutwa msituni ukiwa hautoi harufu. Wakutwa ukiwa na Rozari na Biblia

Joshua Bin Sira
Asante ndugu, nilikuwa nashangaa tu kumbe ni kitabu cha Yoshua na sio Sira. Makosa kama haya kwenye uandishi husababisha habari nzima kupuuzwa na kuonekana ni ya uongo.

Ni vyema kabla huja post kitu chochote kwenye hii mitandao ukapitia upya kile ulicho andika ili kuondoa makosa kama haya.
 
Asante ndugu, nilikuwa nashangaa tu kumbe ni kitabu cha Yoshua na sio Sira. Makosa kama haya kwenye uandishi husababisha habari nzima kupuuzwa na kuonekana ni ya uongo.

Ni vyema kabla huja post kitu chochote kwenye hii mitandao ukapitia upya kile ulicho andika ili kuondoa makosa kama haya.
Hahaahahaha haya mkuu
 
Kuna watu wao pesa na maisha si Mali kitu kwao, Kuna watu ambao wameyadharau maisha haya, na ukitafakari sana utagundua kuwa maisha ni utumwa na kuishi ni sawa na kujirisha upepo, lakini Kuna wengine ambao fikra zako na furaha zao wameziweka katika pesa, hawa huwa wanapata tabu sana, kwani pesa ni namba na namba hazina mwisho, nenda Godwin wajinga watakubeza kwa kuwa hawaoni na hawatoweza kujua chochote, kwani moyo wa mtu ni kiza kinene, HERI KUFA KULIKO KUISHI

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna tatizo kubwa sana la ukosefu wa washauri nasaha. Huyu kijana hakuwa mtu wa kawaida. Alihitaji Counselling.
 
Kwa maelezo huyo kijana alikutwa ndani ya hifadhi ya Mlima kilimanjaro kwa sababu mwisho wa makazi kwa Eneo la katangara hakuna mashamba ya msitu wa kupanda na kwa mwendo wa masaa manne alifika eneo lenye mwinuko mkubwa na kwa kuwa hakuwa na Nguo za kujikinga na Baridi Hypothermia ilianza kumsonga au alinyeshewa na baada ya hapo akapoteza maisha. katika jaribio la yeye kusali milimani kama yesu na pengine kurudi nyumbani hali ya hewa ya mlima kilimanjaro haikuwa rafiki. kwa watu wanopanda mlima wanaelewa nasema nini kwani watu wengi hupoteza maisha kwa sababu ya mvua wakiwa wanapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpeni utakatifu basi aitwe mtakatifu Godwin maana amekutwa kafa na biblia ila all n all hata ungekutwa umefia wapi ila kama hukumkiri Yesu kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yako basi ujue ulipoteza muda tu ni heri ungekuwa mzinzi tuui

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika upo ktk kiza kinene ndani Ya msitu wa Katangara, M.mungu akujaalie uione nuru kabla ya mauti yako...Amiin
 
Back
Top Bottom