JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 923
- 1,544
ROMBO: Diwani wa kata ya Mengwe Romana lyakurwa(chadema),mwenyekiti wa kijiji cha mengqwe chini Regina lyakurwa(CHADEMA) pamoja na makzi mmoja wa kiji hicho aliyefahamika kwa jina la August Mrema wamepandishwa kizimabani katika Mahakam ya wilaya ya Rombo kwa wakikabiliwa na kosa la wizi
Akisoma hati ya mashtaka mahakamani hapo mwenesha mashtka wa polis mkaguzi Bernad Machibya mbele ya hakimu mafawidhi wa mahakama hiyo Naomi mwerinde amesema kuwa washtakiwa hao wote watatu bila halali mnamo tarehe 24 april mwaka huo majira ya sa kumi jioni huko katika kijiji cha mengwe waliiba bendera ya chama cha mapinduzi yenye thamani ya shilingi elfu kumi
Washtakiwa hao wote watatu walikana shtka hilo ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 17 mei mwaka huu itakapoanza kusikilzwa baada ya upande wa mashtaka kudai kuwa upelelezi umekamilika
Wakati huo huo Mahakama ya wilaya ya Rombo imemuachia huru diwani wa kata ya kisale msaranga mashati wilayani Rombo,Justina mkenda(CHADEMA),na mwenyekiti w kitongoji cha ikonen Bernad (CHADEMA)massawe na mjumbe wa serikali ya kijiji cha msaranga peter matero waliokuwa wakikabiliwa na kosa la uharibifu wa mali
Akitoa hukumu hiyo hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Rombo,Naomi mwerinde amesema kuwa amefuta shtaka hilo chini ya kifungu cha 230 kanuni ya makosa ya adhabu n kwamba washtakiwa hawana hatia