Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,713
- 40,922
Poleni wakwe na mashemeji
... Jehanam isikie tu kamanda. Moto wake hauna mfanowe!🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Labda jehanam ipo Rombo!?
Au Mungu anataka kuwa sodoma na gomola!?
.... wala sio suala la ardhi kufunguka ghafla but the materials coming out there. Kama ina elements za radio active hilo balaa usiombe.Hapo unaona kabisa ni hali ya hatari bado wanapiga na selfie kabisa
Hivi ardhi ikifunguka ghafla na kuwameza watailaumu CCM ama
Exactly, was thinking in the same line ingawa inasemwa Kilimanjaro ni volcano mfu...Hapo kuna volcanic activity. And that is probably volcanic ash.
Hapana mkuu Kilimanjaro sio mfu bali ni dormant na inaweza kulipuka tena ni kama vile imelala.Exactly, was thinking in the same line ingawa inasemwa Kilimanjaro ni volcano mfu...
Nilifundishwa Kilimanjaro ni volkano tuli unless sylabus ilibadilika miaka ya hivi karibuni.Exactly, was thinking in the same line ingawa inasemwa Kilimanjaro ni volcano mfu...
Hapana hiyo siyo volcanic ash. Volcanic ash inatokea mpaka volcano ilipuke na moto uwake kuunguza udongo ili volcanic ash ipatikane. Ni sawa na kuunguza kuni au mkaa ili upate majivu.Hapo kuna volcanic activity. And that is probably volcanic ash.
Meku kwa nyama na bia yeleuwiii YesuU Maria na Yoseph tangu wanazaliwa wanavipewaWatu wanapenda sana nyama. Eti lijamaa linasema hapo ukichoma nyama inaiva. Haliwazi hata ukikanyaga utaungua, linyewe linawaza kichoma nyama tu. Bila shaka atakuwa Shirima huyo.
Kilicho iponza Turkey waliangaika na bush fire sijui walikuja kuuzimaThe sticks, trees and underbrush on the ground receive radiant heat from the sun, which heats and dries potential fuels. Warmer temperatures allow for fuels to ignite and burn faster, adding to the rate at which a wildfire spreads.
Volcano haiwezekani kwa mazingira ya eneo, Uranium na Mzigo mwingine nakubari.....siku so nyingi patatitia kuweka Shimo na Mzigo ndo utakua dhahili...,Culprit ni volcano au uranium
Sure ulichosema ndio kweli lakini uliponipinga namimi napapinga. Unatakiwa kufahamu kuwa "volcanic activity is not necessarily an eruption".Hapana hiyo siyo volcanic ash. Volcanic ash inatokea mpaka volcano ilipuke na moto uwake kuunguza udongo ili volcanic ash ipatikane. Ni sawa na kuunguza kuni au mkaa ili upate majivu.
Volcanic ash ni majivu ya volcano kwa kiswahili.
Kwa hiyo kama joto linaweza kusababusha moto. Ile historia kwamba moto ulivumbuliwa kwa kuoekecha visiting au kuginganisha mawe ina walakini.Wilayani Rombo, Tarafa Mashati kijiji cha Momwe kata ya Mraukeryo katika mwambao wa Mto Uwashi kumeonekana joto kali kutoka ardhini hali inayopelekea majani makavu kushika moto.
Tayari timu ya wataalam wa Giolojia kutoka Ofisi ya Madini Kanda, Ofisi ya Maliasili Mkoa wakiongozana na Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Rombo na Katibu Tawala Wilaya Rombo wamefika eneo la tukio na kutoa maelekezo ya awali ya Tahadhari wakati timu ya wataalam wa Miamba ikisubiriwa kufika na vifaa eneo la tukio.
View attachment 1949644
.... wala sio suala la ardhi kufunguka ghafla but the materials coming out there. Kama ina elements za radio active hilo balaa usiombe.
Kwa nchi zinazojali, ilitakiwa hadi muda huu hilo eneo pawe "no fly" zone kisonekane kiumbe chochote within 50 mtr radius from the epicentre. But kama kawaida yetu upumbavu mwingi Shirima anashauri panafaa kuchomea nyama!
nilikuwa sijaoina video bhana iyo chanzo si mwanadam may be hapo chin ni new vent 😮 sada wataalam wajitaid wawahi kidogo
Tusiombee hayo.Kuna uwezekano mlima Kilimanjaro ukacheua siku si nyingi
Nola Shaka Kennedy anakwenda kunenepaBila Shaka Mlima Kilimanjaro Unakwenda Kuongezeka Urefu
Bwashee hii taarifa imo humu tangu jana!Wilayani Rombo, Tarafa Mashati kijiji cha Momwe kata ya Mraukeryo katika mwambao wa Mto Uwashi kumeonekana joto kali kutoka ardhini hali inayopelekea majani makavu kushika moto.
Tayari timu ya wataalam wa Giolojia kutoka Ofisi ya Madini Kanda, Ofisi ya Maliasili Mkoa wakiongozana na Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Rombo na Katibu Tawala Wilaya Rombo wamefika eneo la tukio na kutoa maelekezo ya awali ya Tahadhari wakati timu ya wataalam wa Miamba ikisubiriwa kufika na vifaa eneo la tukio.View attachment 1950401