Romantic Gift utakayo mpatia mpenzi wako kwa Christmas hii ni ipi? Mimi

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Nitamwambia sina pesa, nitamtoa out mpaka kibanda cha mama ntilie. Nitamwambia tule mkate na maharage. Nitampatia mkate, pindi akianza kula atapata na mshangao baada ya kuona brand new Toyota camry key ndani ya silesi ya mkate. Hivi ndivyo nimepanga kumfanyia mpenzi wangu.

Wewe?
 
Hata mimi ningeshangaa maana hiyo funguo sijui itakuwa ni ya aina gani hata ikae ndani ya slesi.
 
Unaota au?wewe mwenyewe una miliki nini?
Nakushauri hiyo hela uliyonunulia camry suzuku uza upate uwanja na tofali za kuanzia ujenzi
HII SIYO KARNE YA KUWEKEZA KWENYE MAPENZI
Muulize mwenzio mushi kilichomkuta
 
X mass zamazi bana..... siku hizi chenga tu.. Mapenzi yenyewe yako wapi???????...

mi nitajitahidi mshawishi tutubu madhambi na tuhudhurie ibada,,,, nafkiri itakua zawadi kubwa sana......
 
Baada ya kumpa mkaanza safari ya kurudi nyumbani mnaanza kulia baada ya kupata ajali.
 
Nitamwambia sina pesa, nitamtoa out mpaka kibanda cha mama ntilie. Nitamwambia tule mkate na maharage. Nitampatia mkate, pindi akianza kula atapata na mshangao baada ya kuona brand new Toyota camry key ndani ya silesi ya mkate. Hivi ndivyo nimepanga kumfanyia mpenzi wangu.

Wewe?

gari si romantic gift may be roses/chocolate/perfume/sexy underwear???........

Unaota au?wewe mwenyewe una miliki nini?
Nakushauri hiyo hela uliyonunulia camry suzuku uza upate uwanja na tofali za kuanzia ujenzi
HII SIYO KARNE YA KUWEKEZA KWENYE MAPENZI
Muulize mwenzio mushi kilichomkuta

Hahahaa haaaa uwiii
ww mwekundu mbona tunazibian bahati! !!!
 
Unaota au?wewe mwenyewe una miliki nini?
Nakushauri hiyo hela uliyonunulia camry suzuku uza upate uwanja na tofali za kuanzia ujenzi
HII SIYO KARNE YA KUWEKEZA KWENYE MAPENZI
Muulize mwenzio mushi kilichomkuta
mwekundu acha hizo mambo bwana,wote tukijenga nani atakuwa mpangaji?
Acha watu wakabidhiwe funguo kwenye silesi
 
Last edited by a moderator:
X mass zamazi bana..... siku hizi chenga tu.. Mapenzi yenyewe yako wapi???????...

mi nitajitahidi mshawishi tutubu madhambi na tuhudhurie ibada,,,, nafkiri itakua zawadi kubwa sana......

Alafu una akili sana wewe,ndo mana nakupenda...mwaaaaa
 
Unaota au?wewe mwenyewe una miliki nini?
Nakushauri hiyo hela uliyonunulia camry suzuku uza upate uwanja na tofali za kuanzia ujenzi
HII SIYO KARNE YA KUWEKEZA KWENYE MAPENZI
Muulize mwenzio mushi kilichomkuta

acha kubania rizki za watoto wa wanaume wenzio!!!!
 
Marry xmas .
vq50c8ea5e.gif
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom