Romans walipoanza ujenzi wa maghorofa, mifumo yao ya vyoo ilikua kama inavyoonekana pichani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1627167675449.png
 
Warumi walipiga hatua kubwa sana ulimwengu wa kale, kila nyanja walikuwa vizuri. Philosophy, architecture, science, economics, fiction, art, sijui wakakwama wapi ila nadhani hapa kwenye dini wametukamata kupitia baba mtakatifu wa Rome.
 
Wasio na uwezo walikusanya kinyesi kwenye ndoo na kwenda kukiuza kwa wenye mashamba kama mbolea.
Kwa kuwa hawakuwa na TEKNOLOJIA ya kukifanya kisiwe na madhara basi tegemea pia walikuwa na magonjwa ya matumbo ,kupooza , kipindupindu na minyoo ya kumwaga tu...

Binadamu wametokea mbali....
 
Huyo wa chini anakoroga mavi sio?,anyway nachotaka kusema uchumi wa kirumi wa enzi zole ulikuwa imara kuliko uchumi wa tanzania ya leo inayoongozwa na serikali ya ccm chini ya uongozi wa mzanziberi yule, mama yao, mh samia suluhu hassan
 
Back
Top Bottom