Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Nikawa najiuliza tangulini mswahili akawa na utaratibu wa kuzingu JF wanatoa HABARI kwa bure kwa kushirikiana na wanachama wake Sasa hii taratibu ya mtu kujifanya mwema anajali wengine atatoa habar bure Mara kabanwa Mara Kule wasap story ilishaisha huku Mara jf hawataki niweke matangazo ya kuuza story.

Sasa Kama haujiuzi kiuandishi kwann haumaliz stori zako? Mbona unakomalia mchango?

Hapa n jukwaa huru unaweza post au usipost haulazimishwi ila hz Mambo za itaendelea mnasumbua watu akilizao.

Hili n jukwaa huru mzee hzo Mambo za wasap uache njoo na uz unauza Hadith utapata wateja
 
Mkuu ,wewe Lipa tu hiyo Pesa kidogo ukasome huko na sio kutoa Povu hapa.Na wewe haulazimishwi kusoma hapa ,sio lazima usome na kuchangia.

Jitahidi upate walau Busara ya kuwa na Subira. 😡😡
 
Nshasoma mengi tuu na Zaid ya haya au yanayeandana na haya.

Lengo lakuwa na majukwaa ya Jambo flan n kukutanisha watu wenye interest za namna Moja na kujadili kwa pamoja kwa upande tofaut tofaut hvyo hapa n kupeana elimu na elimu Haina mwisho.

Kuna vitu vingine anaviacha kusema kwenye hyo stori sababu hajui kiundan wake sababu hajakutana na mazingira ya kiuhalisia wa Jambo Hilo na mengine anaelezea kwa interest ya kuvuta watu japo hapotoshi.

Uteja unakuja kwa watu wanaotaka ije kwalugha pendwa Tanzania na barani Africa
 
Nimekua msomaji wa makala zako muda mrefu sana. Nikupongeze sana jamaa. Kuandika sio kazi rahisi hata kidogo. Kutafiti ni kazi kubwa kuliko kulima. Na ugumu zaidi, kueleza jambo likawa na taarifa zaidi kuliko mtu anavyoweza kuzipata katika dunia hii iliyojaa utandawazi. Kwenye jamii za wenzetu ungekua bilionea mkubwa, bahati mbaya jamii zetu zetu hizi ambazo hata kutoa ef 5 kwa mwezi mtu anaona ni kama anaibiwa, basi tunashukuru utaacha kumbukumbu ya maandishi haya, hata wajukuu zako watanufaika na maumivu ya kuacha usingizi na kukodoa macho kwenye makaratasi. KUDOS BRO.
 
Aldeo,,,, ,,,hivyo vitu alivyoviacha kwanini usiweke wewe na kwanini usiweke vilivyo kiundani?!!! Wakati mwingine ni bora kukaa kimya
 
The bold kawakimbia kama kawaida yake tuliopo kule group raha sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Muache asepe hizi story zake huwa ziko wazi kabisa mitandaoni sema anajua kizipangilia vizuri kwa lugha ya kiswahili hivyo hata wale wazee wa fonti-fedi wanaweza kumuelewa
 
Ukitaka kuendana na jamaa mfanye kuwa source ya kukuletea majina mfano mimi akileta uzi wa mtu flani akamtaja na jina nachukua jina naenda google yuko sehemu ya 2 we ushamaliza story lugha isiwe kikwazo nendeni kwa ras simba akawapige msasa
 
Huyu jamaa hana lolote kazi kuchukua documentary za watu na kuziunganisha kibubusa na kuleta hapa,,hana connection yoyote yenye kumpa details kamili zaidi ya kuiga toka kwenye documentary za watu..
 
Tupe ya kwako mkuu.
 
Tupe Mwendelezo ndugu
Huyu jamaa hana lolote kazi kuchukua documentary za watu na kuziunganisha kibubusa na kuleta hapa,,hana connection yoyote yenye kumpa details kamili zaidi ya kuiga toka kwenye documentary za watu..
 
Huyu jamaa hana lolote kazi kuchukua documentary za watu na kuziunganisha kibubusa na kuleta hapa,,hana connection yoyote yenye kumpa details kamili zaidi ya kuiga toka kwenye documentary za watu..
We mpaka sasa ushaziunga ngap
 
Back
Top Bottom