SAWA OLIGARCH THOUGH UMETUTESA SANAMnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
SAWA OLIGARCH THOUGH UMETUTESA SANAMnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
Poa niweke kwny list ya tagMnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
Mnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
Mida ya saa ngapi unaweka???Mnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
NA KUNA WATU WANAFICHA SANA UKWASI WAO MSIUJUE, COZ HATA MKIJUA HAMTAWASAIDIA ZAIDI YA KUWAANDAMA, FUNGUKA MACHO MKUUDuuh pamoja na ukwasi alionao jamaa hata kwenye 20 bora ya dunia hayumo..kuna watu wana mpunga in this world..
mkuu unitag maana kuwa huku napita pita bila mafanikio sio poa.Mnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
yani kwenye uandishi wako umeutukuza huo uyahudi utadhani dunia nzima top 50 ya matajiri ni wayaudi tu,kwanza kiuhalisia huyo abramovich hana uyaudi wowote ukianza kufatilia uzazi wake sema tu umekuzwa kutokana na uhasama uliopo kati ya USA na RUSSIA kuonesha kuwa mzungu wa kawaida asingeweza kumteka rais yeltsin kirahisi.Ndipo hapo neno uyaudi likakuzwa kwa AbraAbramovich nilianza kuona yule jamaa sio kabisaa kipindi nasoma profile yake wikipedia around 2007 hivi nikaanza mfatilia.....jamaa wakasema alianza from scratch and became one of the richest men in the planet alaf akiwa bado jankee kabisaaaa mid 30’s to Early 40’s tayari ni alikua hashikiki (Man thats soo inspiring regardless kapataje hela yake)
...yani hyo tu ilinifanya nipende kumjua zaidi huyu jamaa cz matajiri wengi uki trace unakuta wana back up / boost from wazazi wao ambao tayari ni ma Don. Sasa mwana kajenga kila kitu mwenyewe. Kashafanya masoo mengi ila anachomoka clean (calculated Risk).
Nikaja kuamini Kweli Myahudi (Jew) achana nao. Wale watu sio kabisaa. Haha sio wote matajiri ila lazima kuna sector flani anafanya balaa.
Kutoboa nchi kama Russia is NO joke. Hata kama
Walikua ujamaa miaka hyo. Sio shamba la bibi kule.
Tag bro,nitashukuru sana.Mnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
Nitajie hiyo youtube chanelKama kawaida mzee... naona bado unakimbiza siti ya kwanza
Daaah. Na leo tunashuka pale super cup na liver. Roho inauma, Mungu atutie nguvu aisee.Bosi wangu huyu pale Chelsea heeeheeee.
Siyo hiyo tu bali na Ile The Other Half pia mwendelezo tafadhaliKuna watu bado wanahitaji muendelezo wa Vipepeo season 2??