Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Umekuwa ukinisahau sana mkuu napenda sana iz vit coz napataga chakula ya ubongo
naomba usinisahau mkuu
 
Abramovich nilianza kuona yule jamaa sio kabisaa kipindi nasoma profile yake wikipedia around 2007 hivi nikaanza mfatilia.....jamaa wakasema alianza from scratch and became one of the richest men in the planet alaf akiwa bado jankee kabisaaaa mid 30’s to Early 40’s tayari ni alikua hashikiki (Man thats soo inspiring regardless kapataje hela yake)

...yani hyo tu ilinifanya nipende kumjua zaidi huyu jamaa cz matajiri wengi uki trace unakuta wana back up / boost from wazazi wao ambao tayari ni ma Don. Sasa mwana kajenga kila kitu mwenyewe. Kashafanya masoo mengi ila anachomoka clean (calculated Risk).

Nikaja kuamini Kweli Myahudi (Jew) achana nao. Wale watu sio kabisaa. Haha sio wote matajiri ila lazima kuna sector flani anafanya balaa.

Kutoboa nchi kama Russia is NO joke. Hata kama
Walikua ujamaa miaka hyo. Sio shamba la bibi kule.
 
yani kwenye uandishi wako umeutukuza huo uyahudi utadhani dunia nzima top 50 ya matajiri ni wayaudi tu,kwanza kiuhalisia huyo abramovich hana uyaudi wowote ukianza kufatilia uzazi wake sema tu umekuzwa kutokana na uhasama uliopo kati ya USA na RUSSIA kuonesha kuwa mzungu wa kawaida asingeweza kumteka rais yeltsin kirahisi.Ndipo hapo neno uyaudi likakuzwa kwa Abra
 
79 Reactions
Reply
Back
Top Bottom