Hv inakuwaje huyu jamaa amekimbia kaacha mke wake na mtoto!!?Mbona wakawaida kuliko mke wake
Teh teh teh 😂😂😂 hii kaliHuyo Dada nilijua ni yule Cherokee d ass wa mambo yetu mabaharia
Labda Mambo ya kazi si unaona anatoa video ugahibuniHv inakuwaje huyu jamaa amekimbia kaacha mke wake na mtoto!!?
Watu wana namna nyingi sana za kuzama ulayaKumbe shida ya fujo zote zile ilikuwa kutaka apate viza ya kuishi Marekani,sasa hapo anakula maisha gani?
watu wa buza utawajua tuu hahaha!usa dem yuko hovyo hovyo km yuko buza kwa rulenge.
Roma anakula maisha na huyu binti USA katika state ya Virginia .View attachment 1320882View attachment 1320883View attachment 1320884
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo ni mambo ya fashooni
usa dem yuko hovyo hovyo km yuko buza kwa rulenge.
Naangalia fursa mambo ya uzuri Baadaye akishakaa sawaMbona wakawaida kuliko mke wake