Roma, huyu huku anajifua Kung-fu na taekwondo...!!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,049
24,428
50a77b73d9196748e872a98480a0b37b.jpg

986f348c7af0bdc3b4c2fe1aba5ff64c.jpg

466706cd4601faf2e828712c6cb63950.jpg

6d9cbc40f578f4c9d52e187dbcea145e.jpg

Roma hivi sasa si wa mchezo mchezo, anajifua ili kujiimarisha kimwili na kiafya, mambo ya judo, karate, kung-fu, taekwondo na tikitaka ndio mpango mzima....

Nimerudi kutoka Zimbabwe...
 
Kashtuka Leo, wazee tuwafunze watoto wetu kupambana na nidhamu, siku niliyopigwa roba na vibaka ndio siku nilijua umuhimu wa kujifunza kupigana mtt wangu wanamuogopa shuleni wenzake wakizungua tuu ni karate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom