Role of Indians in the Tanzanian Economy

Wananchi as in the hoi polloi, the masses, walalahoi, the lumpen ploretariat.

The bulk of Wahindi are not in that categories, they may be citizens, but that categorization escape them.

So they are in what category? And what criteria are you using to put them in whatever category you put them in?

My concern is that we need to be cognizant of the type of language we use. To say that they are Wahindi and they are Wananchi is divisive though you may not even be conscious of it.
 
Hivi wahindi wangapi wanafanya kazi Msajili/ NHC?

Mkurugenzi Mkuu wa Msajili / NHC ni muhindi?
 
Bluray,
Among other things, life expectancy ya wazazi wangu imeporomoka vibaya mno. I'm prepared to use some unorthodox methods when necessary, but I will try to be fair.
 
Napenda kuchukua nafasi kuwauliza watanzania wenzangu je tutayumbishwa na hawa wahindi mpaka lini?maana kila kukicha kashfa zote kubwa wao ndio ring leader,na mambo haya hayakuanza leo kama mnakumbuka enzi za CHAVDA katutapeli akakimbia Tanzania katuacha mikono mtupu,sasa kuna Rostam,Andy Chande,Somaia,Manji je nani ambaye anawalinda?natunasikia wengine wametoka huko kwao wamekuja kama wawekezaji bila capital,huu upuuzi utaisha lini?

Tutaendelea tu maana viongozi wetu wameishawekwa kapuni si unakumbuka juzijuzi uchaguzi wa vijana wa chama tawala (Mengi) alipotowa milioni 400.
kusaidia shughuli za uchaguzi na mzee wetu Kingunge akazipokea kwa shangwe japokuwa zina harufu ya Rada na ndege ya Mkapa.bado tunayosafari ndefu,uchumi wetu umeyumbishwa na ndugu zetu hawa amabao wanatunza pesa jamatini lakini magunia ya DECI ndo yanapigiwa kelele tu.
Pamoja na pesa zote walizochuma mhindi gani amejenga Tanzania? wengi wamehamisha pesa wamenunua majumba Canada, Uingereza, nenda jiji la Manchester uingereza utashangaa wahindi walivyofukuza wazungu.Mhindi gani asiyekuwa na pasipoti mbili ama tatu ya canada,uingereza,marekani,india na Tanzania wahakati nyie walalahoi mnalilia Dual Citizenship wenzenu wanazo triple na serikli ipo kimya.Kuyumba kwa uchumi wetu kunasababishwa na hawa ndugu zetu.Ambao wameweza kununua viongozi wetu na sasa wameingia kwenye siasa walinde masilahi yao mbona upuuzi huo hawakuwanao kwa Nyerere.
 
So they are in what category? And what criteria are you using to put them in whatever category you put them in?

My concern is that we need to be cognizant of the type of language we use. To say that they are Wahindi and they are Wananchi is divisive though you may not even be conscious of it.

The word Mwananchi has two popularly used distinct meanings.

Mwananchi as citizen, this is where your beef is, that I am somehow excluding Wahindi from the citizenry by saying "wananchi against wahindi" for if wahindi are citizens they should also be wananchi.this is not the meaning I used.

Mwananchi as the "average person" the "poor" the "masses" the "lumpen ploretariat" the "hoi polloi"

I am using a Marxist-Engelsist-Leninist-Stalinist-Hoxhaist socio economic criteria, with a sprinkle of Juche just short of complete Kimilsungism.
 
Let me tell u wahindi sio kwamba tunawabagua wao wanajibagua hawashirikiani na sisi hasahasa wakiwa na shida wao ni TRA,POLICE(Traffic),UHAMIAJI na nyumba za msajili tuuu na wapambe wao.
 
Let me tell u wahindi sio kwamba tunawabagua wao wanajibagua hawashirikiani na sisi hasahasa wakiwa na shida wao ni TRA,POLICE(Traffic),UHAMIAJI na nyumba za msajili tuuu na wapambe wao.

Sasa kwa nini tuwashikie bango wao na kuwaacha wapambe wao?
 
Tangu mafisadi waanze kutajwa, wengi wao wamekuwa ndio wale vinara wa kuchangisha pesa, kuweka fundrising misosi kwenye hotel nzuru(kwa pesa zetu walizoiba), ili kupata pesa nyingi kwaajili ya kampeni za ccm. jambo hili wala si geni. wengi wao ni watanzania wenzetu wenye asili ya kiasia, ndio wamekuwa vinara kwa miaka mingi. Mafisadi mapapa wametajwa na wengine wameshakamatwa. macho yangu yanasubiri kuona kama mwakani ccm watakuwa tayari kupokea hela toka kwa mafisadi. najua Jeetu atachangisha akiwa segerea pamoja na yule patel mwingine. sumaiya atakuwa anarandaranda kuhamisha hela na kuuza mali zake ili zisifilisike muda huo hatakuwa nao. manji na Rostam watakuwa wanajenga magorofa na mahotel Dubai, south africa na switzerland ili hela zao ziondoke kabisa hapa bongo. wakti wowote wakitaka kukimbia nchi wachukue tu brifkes na kupanda ndege. atakayebaki kuwachangishia ccm ni nani? jamani atakuwa nani? na wakati atakayefanya hivyo naye atatakiwa kuonyesha hela na uwezo huo anautoa wapi?

hapo ndipo kilio cha Watanzania kitakaposikika na Mungu wangu(mimi mwana wa Mungu). nchi yetu imeikuwa ikiizwa kwa pesa za uchaguzi kwa miaka mingi, viongozi wetu hawana hata raha, hawana sauti vizuri kwasababu sauti zao waliziuza wakati wa kampeni kwa mafisadi. fisadi hata akijisaidia njiani mbele ya rais wa jamhuri, hawezi kukamatwa kwasababu rais amemwuzia sauti,miguu, mikono na viungo vyote akaachiwa tu macho na masikio awe anawaona na kuwasikia na kulia machozi tu. meno wamemng'oa.

viongozi wetu wamekuwa mbwa wasio na mengi, na sisi tunawarushia nyama yenye mifupa(mafisadi) ndio maana wanashindwa kung'ata, kwasababu waliuza meno yao na viungo vyao. utumwa huu utaisha lini? CCM utumwa huu utaisha lini? si bora mchangishe kwa wananchi wa kawaida kama alivyofanya Obama kuliko kuchangisha kwa mafisadi? mwakani tuna ninyi, mtatukoma. uchaguzi wa mwakani, selikali itabidi ijiandae sana, ijiandae kwa kujisafisha kwa kukamata mafisadi wote, ndipo wataonekana wasafi. na hasa mafisadi mapapa. halafu waje kambare.
 
Jibu ni ndio tena zaidi kwa ari mpya na nguvu mpya zaidi.
JK alikwenda kupokea msaada wa kusaidia mkutano wa UVT kutoka kwa somaiya wa milioni 400 huku akijua kuwa ni mtuhumiwa mubwa kuifisadi Tanzania. Unajua alijibu nini alipoulizwa Makamba?.....
 
The word Mwananchi has two popularly used distinct meanings.

What is your authoritative reference?

Mwananchi as citizen, this is where your beef is, that I am somehow excluding Wahindi from the citizenry by saying "wananchi against wahindi" for if wahindi are citizens they should also be wananchi.this is not the meaning I used.

That's why I said we need to be aware of the type of language we use. Use of double entendres lends itself open to interpretations like that especially in multicultural societies.

Mwananchi as the "average person" the "poor" the "masses" the "lumpen ploretariat" the "hoi polloi"

Tanzanians of Indian extraction can also be "average" persons. As a matter of fact, there are many who are "average" persons. Are they not "wananchi"?

Mtanzania mwenye asili ya Kihindi aliyezaliwa Ilala, akasoma shule ya msingi Mtakuja, sekondari akasoma Kinondoni Muslim, unataka kuniambia huyo siyo "Mwananchi"? ?" "Mwananchi" ni mlalahoi mweusi?
 
I am not referring to any tension between the poor Tanzanians and the tiny number of poor Indians, they are almost in the same boat save for a few facts.

So my definition of Mwananchi could easily include a polarization between the poor Indian against the rich Indian, some Upangaites for example, would know that there is class based division even within the Indian community.
 
Si kwamba watachanga bali wameanza kuchanga na CCM wana haha na kuwatisha zaidi kwamba walete mapesa zaidi vinginevyo wataliwa na wapinzani endapo CCM haitakuwa na nguvu .
 
Ok, mimi ninachosema ni kwamba tunapopinga ubaguzi wa rangi au ubaguzi mwingine wowote ule hatuna budi kuwa makini na lugha tutumiayo. Nia ya mtu inaweza ikawa nzuri kabisa lakini lugha atumiayo inaweza ikatafsirika kama lugha ya kibaguzi.
 
Ok, mimi ninachosema ni kwamba tunapopinga ubaguzi wa rangi au ubaguzi mwingine wowote ule hatuna budi kuwa makini na lugha tutumiayo. Nia ya mtu inaweza ikawa nzuri kabisa lakini lugha atumiayo inaweza ikatafsirika kama lugha ya kibaguzi.

Good,

Now, can you maintain this keen level of observation and reasoned levelheadedness? This forum will gain a great service.
 
ndugu, hapa hatupo kwenye ubaguzi wa rangi, na hata hivyo, kama mtu huyo wa rangi ni fisadi, bora abaguliwe. ulishawai kuona wapi muhindi masikini kule kariakoo? unaweza kuwalinganisha na wabongo weusi? hapana,kwenye kazi zao kama ulishawai kufanya ofisini nao, wanaongea kihindi kitupu, hamna lugha ya sisi wabongo kueleweka. wana dili za siri sana. na wanapatiana dili wao kwa wao tu ndio maana wanapendeleana kwa kila kitu. kama ni ubaguzi wao wa kwanza,wahindi ndo wabaguzi wa kwanza. sasa siss weusi tukitaka kuongea, basi kwasababu sisi ndo wengi,tunaambiwa tusiwe wabaguzi.

kama kuna mtu alishawai kufanya ofisi moja na wahindi(mfano kwenye maofisi yao makubwa kule mikocheni,etc). mimi ni lawyer, nilishawai kufanya nao kazi, nilikuwa natengwa, madili yao mengi wanaongea kihindi, kwasababu ukiyajua tu, wamekwisha.
 
watz wa asili ya kiasi, mnatakiwa kujifunza kuwa waaminifu, kama hamtakuwa waaminifu, hamtakuja kufit na watz weusi hata siku moja. nakwambieni. na jinsi watu wanavyozidi kupata uelewa ndo mnavyozidi kuwa kwenye hatari. remember south africa xennophobia(spelling please).

WATZ WA KIASIA JISAFISHENIIII, JISAFISHENIIII ILI TUISHI KWA KUAMINIANA.
 
Jibu ni ndio tena zaidi kwa ari mpya na nguvu mpya zaidi.
JK alikwenda kupokea msaada wa kusaidia mkutano wa UVT kutoka kwa somaiya wa milioni 40 huku akijua kuwa ni mtuhumiwa mubwa kuifisadi Tanzania. Unajua alijibu nini alipoulizwa Makamba?.....

Mkuu zilikuwa milioni 400 siyo 40. Ni aibu kubwa. Tena huyu jamaa ndo yuko kwenye kashfa ya radar. Wahindi wanajua namna ya kuwa-manipulate viongozi wetu na kuficha madhambi yao ikiwemo kukwepa kulipa kodi katika biashara zao.
 
Back
Top Bottom