Roketi ya mwezini yarudishwa katika karakana kutokana na 'storm'

Mzawa_G

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
667
1,467
Kutokana na uwepo wa hali mbaya sana ya upepo mkali ambapo katika siku za usoni imeonekana maeneo mbalimbali ya marekani yanaweza yakashambuliwa na upepo mkali sana (Storm) Shirika la Nasa limeonelea kusitisha zoezi zima la urushwaji wa rocket hiyo

Kama tunavyofahamu kuwa dunia sasa inapitia kipicha cha kubadilisha majira ambapo kuna maeneo mengine yanaanza kuelekea katika vipindi vya baridi na upepo mkali huku maeneo mengine nayo yanaelekea kuwa katika kipindi cha kiangazi ,

Hivyo kwa maeneo ya Marekani kwa kipindi hichi huanza kupata mashambulizi mengi ya upepo mkali sana unaopelekea kuleta maafa kwenye makazi na kuuwa watu mbalimbali katika maeneo tofauti , Hivyo Nasa wameonelea kusitisha zoezi hilo mpaka pale watakapoona hali inayofaa kabisa

Hali mbaya ya hewa ni hatari sana kwa urushwaji wa Rocket kwa maana huweza kusababisha rocket kushindwa kabisa kwenda angani na matokeo yake kuanguka chini na kuharibika kabisa
FB_IMG_1664280362160.jpg
 
... watakuambia ni kwa sababu this time warusi (the genius) hawashiriki lazima mission ifeli!
 
... watakuambia ni kwa sababu this time warusi (the genius) hawashiriki lazima mission ifeli!
Warusi walisema ifikapo mwaka 2025 hawatoshirikiana tena na USA kweny mambo ya Anga
 
Huku Tanzania , Toilet paper ya kuchamba matakore ni shida , maji masafi ya kunywa ni shida MRI ni shida . Je wajua kipindupindu ni kunywa mavi ya mtu mzima.?
 
Back
Top Bottom