Roho za wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Roho za wanawake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tz1, May 23, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,104
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Je wanaume hawana roho?
  mfano-Mwanamke asubuhi akiamka anasema roho inauma kweli.
  Sijawahi kusikia mwanume anasema roho inauma.
  Na hiyo roho wanayo sema nini?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sasa kama hawasemi ndo hawana?!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,807
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  sijawahi kusikia roho inauma.... ila najua inaweza kufurahi au kusononeka... mwili ndio wauma ati
   
Loading...