Roho yangu inakuwa ngumu kuamini kuwa hii ni damu yangu

Dunia hii bhana! Rangi ya ngozi ama kuna kingine? Hizo DNA Sina hakika sana maana maabara zetu haziaminiki. Kuna rafk angu mmoja mmewe mweusi si sana ,mke mweusi..mtt wa kwanza mweusi...mtt wa pili ana kirangi flan hivi, baba mtu akaanza kusema si wake, baada ya muda yule mtt miguu ikawa kama ya baba yake anayesema si wake kisa rangi ya mwili, wakati mwingine wanaume ukiwaza sana mtt si wako na kweli anaweza akawa ni wako na unamnyima haki zake.

Tulia acha mtt akue ,km unaweza lea km hiwezi ijulikane hvyo na siyo kusema si wako nakumtia Dada wa watu ulimtia.
 
Wakuu

Huyu demu nilitemana nae baada ya kugundua kuwa anagongwa na jamaa mwingine ilikuwa mwezi mmoja kabla ya kugundua aliniambia kuwa anamimba, baada ya kugundua na kumtema nikamwbia tusubiri mtoto azaliwe tutajua cha kufanya, kweli mwaka Jana mwezi wa kumi nilipigiwa simu na dada mtu kuwa mdogo wako Yuko hosp amewapa namba wanipigie wanipe taarifa.

Pia, hawana pesa ya kufanya operasheni na kununua dawa, nikaingiwa na huruma kutokana na maelezo Yao nikawaza siyo vizur mtu afe sababu ya pesa nayoweza kuitoa nikawatumia kama 250k iwapush, alivyojifungua wakanipigia simu kutaka kujua nafanya utaratibu gani wa kwenda kujitambulisha na kuhusu huduma ya mtoto.

Nikawaambia sina hakika na huyo mtoto kama ni wa kwangu nitaendelea kusaidia vile navyoweza Ila kuhusu kuja kujitambulisha au kumchukua bint yenu kukaa nae hapana tusubiri mtoto akue, hawakunielewa ila Mimi niliendelea kushikilia msimamo wangu, nikawa natoa huduma miezi mitatu imepita bint nikimwambia nitumie pic ya mtoto anasema simu yake mbovu Ila kwenye social media anampost Jambo ambalo silipendi, dogo amefikisha miezi sita nikamwambia tena naomba unitie picha za dogo jibu lake ni lile lile. Baati nzur nikabahatika kukutana nae nilichoka kichwa mpaka vidole.

Mimi ni mweusi na mama ake ni mweusi huyo dogo Hana dalili zozote za kuwa mweusi Leo hata kesho, Hana dalili zozote za kutanana Kwa namna yoyote na mtu yeyote katika familia yetu, anasura ngeni kabisa machoni pangu,. Nikamuuliza huyu ndo mwanagu akaniambia isikuchanganye rangi huyu ni mwanao nafsi yangu na hisia bado zinakinzana na maamuzi yangu kuwa Ile ni damu yangu, na nikiwaza chanzo cha kutema nae alitoka Kwa jamaa siku hiyohiy. Akaja kwangu.

Mpaka sasa sijatoa taarifa kwa mtu yeyote upande wa kwetu nasubiri mtoto afikishe mwaka mmoja,

Mapenzi hasara

26yrs

Sent using Jamii Forums mobile app

Usihangaike DNA kupima sampuli mbili ya kwako na ya mtoto ni laki sita tu huna haja ya kungoja mpaka afukishe mwaka mpime DNA ujue mapema

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naamini Kuna nguvu inayosaidia mtu kushinda na kushindwa washindi wa kweli ni wale wanaosikiliza kweli ya mioyo yao. Mkuu ukiona moyo unagoma juu hapo mtt sio wako umepigwa piga chini huyo au mpeleke kwa ndugu zako shangazi au Bibi watakuambia ni damu yao au umepigwa wao wanajua
 
Wakuu

Huyu demu nilitemana nae baada ya kugundua kuwa anagongwa na jamaa mwingine ilikuwa mwezi mmoja kabla ya kugundua aliniambia kuwa anamimba, baada ya kugundua na kumtema nikamwbia tusubiri mtoto azaliwe tutajua cha kufanya, kweli mwaka Jana mwezi wa kumi nilipigiwa simu na dada mtu kuwa mdogo wako Yuko hosp amewapa namba wanipigie wanipe taarifa.

Pia, hawana pesa ya kufanya operasheni na kununua dawa, nikaingiwa na huruma kutokana na maelezo Yao nikawaza siyo vizur mtu afe sababu ya pesa nayoweza kuitoa nikawatumia kama 250k iwapush, alivyojifungua wakanipigia simu kutaka kujua nafanya utaratibu gani wa kwenda kujitambulisha na kuhusu huduma ya mtoto.

Nikawaambia sina hakika na huyo mtoto kama ni wa kwangu nitaendelea kusaidia vile navyoweza Ila kuhusu kuja kujitambulisha au kumchukua bint yenu kukaa nae hapana tusubiri mtoto akue, hawakunielewa ila Mimi niliendelea kushikilia msimamo wangu, nikawa natoa huduma miezi mitatu imepita bint nikimwambia nitumie pic ya mtoto anasema simu yake mbovu Ila kwenye social media anampost Jambo ambalo silipendi, dogo amefikisha miezi sita nikamwambia tena naomba unitie picha za dogo jibu lake ni lile lile. Baati nzur nikabahatika kukutana nae nilichoka kichwa mpaka vidole.

Mimi ni mweusi na mama ake ni mweusi huyo dogo Hana dalili zozote za kuwa mweusi Leo hata kesho, Hana dalili zozote za kutanana Kwa namna yoyote na mtu yeyote katika familia yetu, anasura ngeni kabisa machoni pangu,. Nikamuuliza huyu ndo mwanagu akaniambia isikuchanganye rangi huyu ni mwanao nafsi yangu na hisia bado zinakinzana na maamuzi yangu kuwa Ile ni damu yangu, na nikiwaza chanzo cha kutema nae alitoka Kwa jamaa siku hiyohiy. Akaja kwangu.

Mpaka sasa sijatoa taarifa kwa mtu yeyote upande wa kwetu nasubiri mtoto afikishe mwaka mmoja,

Mapenzi hasara

26yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngashtukaa na machale ku n desaaaa

Sent using mt4 app
 
Baba yangu mkubwa alimuacha mkewe baada ya kuzaa mtoto mweupe.
Wawili wa mwanzo ni weusi.
Cha ajabu hao wakubwa wawili sasa hivi wamejichubua wamekuwa weupe kuliko mdogo wao.

Dunia hii bhana! Rangi ya ngozi ama kuna kingine? Hizo DNA Sina hakika sana maana maabara zetu haziaminiki. Kuna rafk angu mmoja mmewe mweusi si sana ,mke mweusi..mtt wa kwanza mweusi...mtt wa pili ana kirangi flan hivi, baba mtu akaanza kusema si wake, baada ya muda yule mtt miguu ikawa kama ya baba yake anayesema si wake kisa rangi ya mwili, wakati mwingine wanaume ukiwaza sana mtt si wako na kweli anaweza akawa ni wako na unamnyima haki zake.

Tulia acha mtt akue ,km unaweza lea km hiwezi ijulikane hvyo na siyo kusema si wako nakumtia Dada wa watu ulimtia.
 
Ajabu zaidi mimi na rangi yangu hii wananiona mshamba sijachangamka wakuja sababu sijajichubua kama wao.
Yaani hii dunia ina mambo sana.
Nadhani wamezaliwa katika mazingira ambayo hayakuwa na vitu wamekutana navyo ukubwani wakabadili hadi rangi. Vipi tabia walibadili.
 
Back
Top Bottom