Roho mbaya za Watanzania Maskini zinazi umia kwa mambo kama haya kweli?

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
930
Points
1,000

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
930 1,000
Nmeshangaa sana kuona hata baadhi ya moderator wanaumia na threads zangu.jana nliandika ujumbe ambao nlishiriki na wadau uzoefu wangu.kuna moderator ilimuuma akaamua kuhamisha uzi.

Kumekuwa na maneno mengi juu ya Watanzania walioko South Africa na Hata nchi nyingine Duniani.nasikia huwa wanakuwa na roho mbaya sana kwa watanzania wenzao. Sijui.mimi sijawahi ku experience kitu hicho sababu maeneo ninayoishi napokuwa huko sikutani sana na watz. Na ninapokutana nao ni wale ambao ROHO ZAO ZILISHASUUZIKA. Hawana Kutu.

Kwa mtanzania atakupenda sana utakapomwambia huna pesa,maisha yako ya hovyo,unateseka.akikupa 50000 mshukuru mbusu hadi miguu. Na mkienda Bar Mtanzania atakununuli Beer unywe mpaka utambae. Kesho atakwambia mkutane tena saa mbili hiyo sehemu akunyweshe tani yako.

Kesho saa 12 jioni mpigie.msalimie muulize mambo yanaendaje.muulize kama ile ahadi ya jioni ipo.atasema ipo.mwambie una shida. Unahitaji Tsh 10,000 au 20,000 ununue chakula home hawana kitu.

Atakwambia hali ngumu hana kitu kabisa.ye mwenyewe ametoka kuazima pesa na matatizo lukuki atakutajia. Utashangaa.pombe yupo tayari kukunywesha za tsh 30,000-50,000 ila chakula tsh 10,000-20,000 hana. Hii ni Roho ya Kichawi.

Ukimwambia akuchangie pesa ukasome atakataa,akuchangie pesa ukapate matibabu atakataa.akuchangie pesa ufanye biashara atakukatalia vibaya sana.ila mwambie kuna harusi.atachanga.mtu wa hivi usije dhani anakupenda.ni mchawi kama wachawi wengine.

Mimi napoandika kuhusu maisha yangu upande chanya watu wanaumia sana na kudhani ni fiction.lakini nikiandika upande fake hasi watu wanaamini bila hata kuhoji.hili linanishangaza sana.

Mfano mimi najitambua nina akili sana.siku moja nlitamka neno hilo nikiwa kwenye forum moja.waswahili walikasirika sana.wakaanza kusema nimewatukana.nikauliza kwa nini mnasema nimewatukana?niambieni hilo tusi. Wakanambia "Utasemaje wewe una akili?" Nliwauliza kosa langu ni nini hapo? Je ngesema mimi ni mnene wangekasirika?wakasema hapana.

Then why mimi kujitambua nina akili ikuumize wewe? Kwa nini usione ni jambo zuri.kulikuwa na mswedish katika ile forum.alinifuata na kuniuliza kwa nini nmejitambua nina akili.nikamueleza.akafurahi sana na akanielewa vizuri sana.

Na hali hiyo inakuwepo hata humu JF nikisema nina maisha mazuri wengine wanakasirika na kusema nina jidai.mi ntajidai kwa kuwa na gari 6 tu za kifahari?ambazo katika hizo ni 3 tu nlinunua brand new?

Mi naona ni vya kawaida tu.wala hamna presha. Tuzoee kusikia na kujifunza habari njema.MODERATORs Msiangukie kwenye mtego wa roho mbaya.mtu anayeandika hbr mbaya humu mnaona ni sawa.akija mwingine akaandika habari njema mnahamisha uzi.why?

Kwa nini mimi kuwa na tuvicent kidogo mnaumia au mnataka uthibitisho ila nikisema nina gari bovu au nalala njaa mnaona ni haki yangu?
 
alibaaliyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
338
Points
500

alibaaliyo

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
338 500
Kiduku Lilo nimekusoma. Kwa mtizamo huu aidha una mafanikio sana au UTAYAPATA.Nimekupendaa

Mtu fulani

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
555
Points
1,000

Mtu fulani

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
555 1,000
Gari sita za kifahari. Na tatu tu ndo umenunua brand new?
We jamaa kama mihela unayo yaani wewe ni nyamihela

Forum statistics

Threads 1,365,451
Members 521,217
Posts 33,346,530
Top