Roho inaniuma serikali ya CCM kuwanyima wanafunzi mikopo elimu ya juu 2013

ASCUDA T

Senior Member
Sep 10, 2013
120
33
Katika hali inayoonyesha serikali ya ccm haina huruma na wananchi bali wanajijali wao tu ni pale mwanafunzi anakidhi vigezo vya kupata mkopo elimu ya juu na kunyimwa. Ki ukweli asilimia kubwa ya wazazi wa kitanzania ni ngumu kuwagharamikia watoto wao gharama za elimu ya vyuoni. Kwa mwaka wa 2013 wanafunzi wamekosa mkopo na wengi wameshindwa kwenda vyuoni wapo mitaani wanaranda randa lakini ccm wanatumia pesa nyingi kuua chadema inauma sana. Watanzania tuamke tujitambue maana ccm wanatupeleka kama mang'ombe. Elimu ndo ufunguo wa maendeleo jamii uhuru kamilifu kwa mwanadamu kujitambua. Swali kwa mafisadi pesa mnazoiba mnataka mkajengee kuzimu kwann bac huruma hamna ninyi chama nyanyasaji. Tanzania ni ya mafisadi siyo wananchi na nafikiri mnawajua mafisadi ni ccm. Mungu sikia kilio cha maskini Tuepushe na ccm baba maana hawana huruma na wananchi na mtoto wa kitanzania
 
Back
Top Bottom