Please don't tell me this is not a joke!! kusema ukweli ningekua mtoto basi ningejipongeza kumzid akili mtu mzima.... na kwa ulichoandika kama kweli ww ni mtu mzima basi umeruka stage au unazeeka vibaya...hii ni jamii forums sasa nenda katafute nini maana ya jamii kuna watoto wadogo siku hizi wanamiliki simu so choose your words careful au utajikuta unazalisha kizazi cha wambea.. wajinga...wahuni...makahaba wezi na majambazi..watu wasiojali muda na kila aina ya ujinga wa kiafrika.. you heard me old man??...Tazama kanuni za kujiunga JF ... Unaonekana umri wako ni chini ya miaka 18, hivyo ni kosa lako kuingia kwenye jamvi lililokuzidi... Hapa hatufundishi maadili, ni vyema utambue kwamba kila fanani ana namna yake ya kufikisha ujumbe kwa hadhira! Kama hujaelewa jambo kaa kimya huenda ukaelewa hata wiki ijayo huna sababu ya kuumiza kicha. Jaribu kuwaza mambo mepesi mfano mkao wa chura ni kwamba amesimama, amechuchumaa ama ni mapozi ? Uwe na adabu kwa baba zako siku nyingine!