Roho imeniuma sana

Madam Mwajuma

JF-Expert Member
Sep 13, 2014
7,041
6,639
Yaani mwanaume nae hajiongezi? Kaona mpenzi kaja bila hata mkoba nae haulizi nauli unayo mpenzi?
Hawana mawasiliano mazuri hawa watu. Mpenzi wako hupaswi kuwa na doubt kama una tagizo. Alivyorudi kuchukua jero angemuambia sina nauli na naondoka sahivi. Huyo mwanaume naye kiboko
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
49,450
96,916
Duh imagine nguvu aliotumia kufuata 500/-...! Huyo jamaa inabidi apimwe mkojo haraka sana!
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
49,450
96,916
Naomba jina lake tumfute kwenye chama cha wanaume! Hafai hata kidogo....
 

kinehe

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
205
196
Maswali yakujiuliza
1; unasema ulikulupuka hukubeba mkoba, je hiyo nauli yakufika had kwa mpenzi wako ilikuwa mkononi?
2; kama jibu ni hapana it means ulichkua kweny mkoba if yes kwanin uliamua kuchomoa sijui "jero" zingine ukaacha! Kwan zingne zilikuwa na uzito gani kubeba?.
Smtymz nyie wanawake msimame hata kwa miguu ynu, had naul ya daladala unatgmea ukarudshiwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Multiple Myeloma

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
465
390
Aiseee, pole sana, kuna siku na mimi nilienda kumuona mgonjwa(mchepuko) enzi hizo lakini, Nimefika pale tukapiga story akaniambia anataka akanunue maji ya kunywa, nilikua na kama elfu 37 hivi kwenye mfuko wa shati, sasa nazitoa ili nimpe hiyo hela ya maji si akazivuta zote!!!

Halafu sikua na usafiri na ilikua usiku ushaingia, na cm imezima chaji, nilichukia mno, nikamwambia basi nipe hiyo buku mbili nichukue bodaboda mpaka makumbusho then nipande daladala to home akawa anacheka ile kwa dharau.

Akatoka akaenda kununua vya kununua, na mimi nikatoka nikaanza mguu mosi mguu pili huku nikitafakari cha kufanya maana hata umeme ulikua umekatika kote. Ila mpaka leo sijawahi kurudi tena kwake. Alinifanya nimuwazie tofauti sana.
Hahahah haha, hii kiboko ya yote
 

Odoemma

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
828
871
Maswali yakujiuliza
1; unasema ulikulupuka hukubeba mkoba, je hiyo nauli yakufika had kwa mpenzi wako ilikuwa mkononi?
2; kama jibu ni hapana it means ulichkua kweny mkoba if yes kwanin uliamua kuchomoa sijui "jero" zingine ukaacha! Kwan zingne zilikuwa na uzito gani kubeba?.
Smtymz nyie wanawake msimame hata kwa miguu ynu, had naul ya daladala unatgmea ukarudshiwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubinafisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Multiple Myeloma

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
465
390
Nakumbuka kuna mpuuzi mmoja manzi wa kinondoni mwaka 2012, siku hyo boom lilikuwa limetoka nkachomoka na 70,000/= mpka masai baada ya kulewa ndo nkamwita akaja akaomba kunishikia simu na pesa ilobaki, nikampatia baada ya muda akapotea mbaya zaidi sikuwa nafaham alipokuwa anaishi, sitosahau kiukweli, nilipiga mguu kutoka kinondoni mpka upanga.
Alinikomesha sitokuja kusahau nakumbuka nilikuwa nmemega twice, nilimtafuta baada ya kununua simu nyingine akanikana hanijui. Post ya jamaa wa 37000/= MGIBEON imenikumbusha tukio hilo.
 

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,182
408
mama Pita pole sana,
inaonesha unamjali sana mpenzi wako lakini yeye kama upendo wake uko mbali hivi juu yako.
 
16 Reactions
Reply
Top Bottom