Roho imeniuma nimeachwa na mwanamke nimpendaye sababu ameniona sina mwelekeo mzuri wa maisha

Mkuu wewe ndo unakompliketi maisha, ila yenyewe maraisi kama tebo ya 10.
Jipimie saizi yako achana na ovasaizi
 
Msela vipi ushapata madusco.. Au bado unaachwa kwasabu huna dusco..!?? Mrejesho
 
Back
Top Bottom