Rockonolo Remix: Diamond Platnumz kawakilisha vyema

Ngoja nife kiume na Aje rmx huku... Tumempenda wenyewe.
Kweli ukimpenda Alikiba penda na remix zake zote hata kama finished version inakua kama demo.
Basi tu tutafanyaje sasa!
 
wack video, wack audio..it is below the expectations.
diamond anaonekana kaimba vizuri kuliko wenzake kwa sababu kaimba kwa lugha mnayoielewa vizuri.

nothing more, nothing less
 
Superb,classic and of course had a good taste ill give it 9/10 hapa ndio unatakiwa kuweka ushabiki pembeni na kusema huyu jamaa ana akili nyingine,level ingine na mindset ingine....
 
Bonge moja la ngoma... Aliyechukua video kazingua maana hatujaona dance vizuri...

Ila kama dance ingeonyeshwa vizuri Chibu angefanya Massacre kabisa
 
Audio iko poa sema video haina creativity n kama warikurupushwa ahsante chibu umewabeba
 
mapovuuuuuuu
hizi team zenu zinaharibu yaani kila kitu hata kibaya mnasifia tu
Hakuna kitu nachukia ukisifia msanii fulan jitu linakuja kulopoka neno team ni ufinyu wa akili na kufukiria wa 0% Is not about team ni suala la kutambua kazi ya mtu na kumpongeza kwa nafasi yake kwa alicho fanya even ni ben paul, Ali kiba, Jux or mtu yeyote mpongeze... Wanao comments ni kwa namna alivyo feel nyimbo na sio woote wataupenda wimbo wapo watakao sema mbaya sana kama ww ko ni suala la kukubaliana na wazo la mtu Jux akitoa ngoma kama nimeikubali nitaisifia tu bt the same time wapo watakao ichukia ko ni suala la kawaida sasa sijui issue ya team inatoka wap.... Mschana unaye mpenda ww mm nitamwona garasa tu lakin wapo watakao kusifia kuwa una mrembo so yu hve to respect that bro.... Team ninayoifaham na kuishabikia ni Manchester United
 
Jiangalie dogo!
wewe sio wa kuniambia na ufinyu wa akili

All in all wimbo ni mbaya
 
Ngoma kali diamond kaua ila naona kama wamewanyima wachezaji kuonyesha move zao zakucheza ila all in all bonge la ngoma chibu kauaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom