Rockonolo Remix: Diamond Platnumz kawakilisha vyema

Sijui ni simu yangu inaleta kama sratch flani hivi ama vipi! Kama sivyo me nafkir audio ndo imekaa poa ila video ina vipande vipande vingi sana(mapepe) sioni mahali ambapo wamepiga hata dance moja ikaonekana yote bila kukatwa katwa! Btw Diamond kaimba vizur
 
Hii ni too much. Ngoma jamaa anafunika kama vile wenzie hawajui... aagh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom