Rock City Mall ya Mwanza, imeshafunguliwa?

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
670
202
Nilikuwa Mwanza kwenye mwezi wa sita tarehe 25 nikakutana na mabango makubwa ''Rock city mall, itafunguliwa hivi karibuni, kutokana na muda wangu kuwa mdogo sikuweza kufuatilia habari hiyo ya kufunguliwa kwa mall hiyo kubwa na kisasa kwa Kanda ya Ziwa.

So hivyo basi napenda kujua kama imeshafuguliwa ama laa na upatikanaji wa nafasi/pango ukoje kwa pande izo.

So wadau naomba mnijuze namie nije niwekeze pande hizo watu wangu.
 
Bado hapajafunguliwa but pameshajaa... pole unakumbuka shuka kumeshakucha? Wenzio walianza kupanga wakati jengo bado hawaanza finishing.

Otherwise upange kwa aliyekwisha panga tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom