Ushabiki wa timu siyo mali binafsi.
Endelea kujipa asilimia 100% ya ushindi, tunaojua mpira tunaujua umuhimu wa kutomdharau mpinzani.
Kumbukizi
Ushabiki wa timu siyo mali binafsi.
Endelea kujipa asilimia 100% ya ushindi, tunaojua mpira tunaujua umuhimu wa kutomdharau mpinzani.
NyieeNakumhusha kwa kiwango cha kaizer hana hata uwezo wa kumfunga Yanga hivo nusu fainali ni Simba na Mc Alger/Wydad Casablanca
mmhNyiee
mmh,acha uongoNakumhusha kwa kiwango cha kaizer hana hata uwezo wa kumfunga Yanga hivo nusu fainali ni Simba na Mc Alger/Wydad Casablanca
Nusu fainali (Ahly vs Esperance) & (Simba vs Wydad).
Fainali = Simba vs Ahly
Naomba nikuhifadhie huu utabiri wako for future use!
Kho! Kho! Kho! Naombeni maji ya kunywa nimepaliwaSimba nusu fainali vs Wydad
Simba fainali vs Esperance
Esperance bingwa
😃😃mkuu denooJ nakusalimu tuMlete yoyote Simba SC timu bora Afrika Mashariki na Kati kwa sasa.
Kumbe ulijua mapema eeNaomba sana tusikutane na kaizer chief
Eti eeKaizer Chiefs hana bahati.
Acha ukuda mzeeEti ee