Roberto Mancini has been sacked by Manchester City

Naona timu zote kubwa kwa musimu wa 2013/14 zitaanza na makocha wapya. Je kati ya hawa watatu Manuel, Mournho na Moyes nani atakuwa wa kwanza kutimuliwa?
 
Sishangai kwanza wamechelewa sana...the guy had all resources yeye tu ndo alishindwa
 
Hoja yangu ni hii ruthlesness ya hawa sijui bodi na.mwenye timu....kwamba wao hawajali kama msimu umeisha au la...kulikuwa na.matarajio.makubwa sana.and yet there can only be one winner.

Tatizo lake kubwa ninaloona ni ugomvi.na wachezaji pamoja na watendaji..niseme.arrogance? Ila thats wha u get unapokuwa na mastar kibao kwen time

Mechi ya FA na Wigan nilijua something os seriously wrong
 
Mancin alistahiri nadhani atapata timu
nyingine ila ukweli uwezo si mzuri sana.
 
da hizi timu nyingine bana nomaaaaa ukizingua tunakupiga chini fastaaaa....bado babu wetu pale kwa washika bunduki
 
Mancin alifiliri kuifunga [[Mufc]] ndio itamuakikishia kibarua chake, ila kajitaidi kabeba EPL mwaka jana. Man city now wanatakiwa walete coach mwenye uzoefu EPL and European champions, kwa mim napendekeza Ancelot, Hiddink, Di Mateo, Klopp, Jupp Heynckes.
 
Hoja yangu ni hii ruthlesness ya hawa sijui bodi na.mwenye timu....kwamba wao hawajali kama msimu umeisha au la...kulikuwa na.matarajio.makubwa sana.and yet there can only be one winner.

Tatizo lake kubwa ninaloona ni ugomvi.na wachezaji pamoja na watendaji..niseme.arrogance? Ila thats wha u get unapokuwa na mastar kibao kwen time

Mechi ya FA na Wigan nilijua something os seriously wrong

Mancini is not a good manager.....a good coach, may be yes!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom