Roberto Di Matteo sacked by Chelsea after Champions League defeat against Juventus

Abramovich has wanted rid for a while, not sure he wanted him in first place. Last night was the excuse he needed.... I have a suspision they went behind his back and offered Pep the job anyway.
 
Shaktar ana 10 points tayari na ana advantage sana ukichek face to face fixtures with chelsea... Pona ya chelsea ni juventus afungwe tu na shakter na tatizo shaktar hawezi kumzuia juventus hasa hasa kwenye game hiyo muhimu.. Maana hata mechi ikiisha draw juventus anafikisha point 10 ambayo nayo inampa automatic qualifications hata chelsea akishinda 100 kwa bila, uefa wanaangalia face to face mlivyokutana nani alimfunga mwenzake na kwa hilo juventus na shakter wote wana advantage mbele ya chelsea
hapo umenielewesha vizuri kabisa... so kwa hali hiyo chelsea hana chake hapo
 
The dismissal of Di Matteo follows the only real blip in results since he succeeded Andre Villas-Boas in February, with the club having won just two of their past eight matches.

Chelsea say that they will be making an announcement "shortly" regarding a new first-team manager, with Rafael Benitez and Avram Grant among the options to succeed Di Matteo on an interim basis.

Ideally, Abramovich would like to appoint Pep Guardiola, the former Barcelona manager, but it is unclear whether he would be available before the end of the season.

The sacking of Di Matteo means that Chelsea are searching for their ninth manager since Abramovich purchased the club nine years ago, in 2003. To date, only Jose Mourinho and Carlo Ancelotti have survived more than one season.

Chelsea’s statement this morning pointed to "recent performances and results" but, even by Abramovich’s standards, Di Matteo has been judged over a remarkably short timescale.

Source: Roberto Di Matteo sacked by Chelsea after Champions League defeat against Juventus - Telegraph

Mtafukuza kila kocha? Ilikuwa ni kosa kubwa sana kumtimua Carlo Anicelloti
 
mechi inayofuata wanatakiwa kushinda na juve wafungwe kitu ambacho ni kigumu

dimatteo ni kocha safi tuh,ila abromovich hana subira,kwa msimamo huo wa kundi lao sio kama chelsea iko hopless kwa kias cha kufikia jamaa kutupiwa virago,ingekua fair basi kama kweli wao wnathamin mchango wake wasubiri waone kama keshashindwa kuwavusha kwenye ngwe hiyo ndipo wafanye maamuz mazito,,sasa kocha gani anaependa heshima ya kibarua chake anaweza thubutu kwenda chelsea,labda kufuata pesa,lkn changamoto ya kutegemea kupewa nafasi haipo kabisa kwenye club ile
club ya ajabu sana
 
umesahau walivyo mfukuza yule m islaeri wakati timu ilikuwa inafanya vizuri sana
 
abrahimovich,the chelsea fc owner is not interested in football related stress,that explains why he cannot torelate these coaches,its high time he shift to his attention to chelsea fans and supporters who inflict stress in his life,he should sack them too! live long Mr Stress Free Abrahimovich
 
Mbona hawajatolewa? Juventus wakifungwa na SHAKHTAR na wao wakaifunga hiyo ingine wamepita! hata Juventus ikishinda na wao wakawafunga hao vibonde wamepita.....the group is wide open but Mr Abramovich must be a madman

Group E

HomeAwayTotal
ClubsPWDLWDLWDLFA+/-Pts
1 FC Shakhtar Donetsk5200111311127510
2 Juventus5210
0202301147
9
3 Chelsea FC511010221210917
4 FC Nordsjælland5012002014316-131

JUVE Akiifunga shaktar Chelsea wanatoka kwasababu tayari Shak kashafuzu na miongoni mwa timu zilizofuzu, na ili Chelsea ifuzu lazima Juve afungwe au atoe draw wakati Chelsea wao watahitaji wafunge si chini ya magoli zaidi ya 6 ili kufuzu endapo Juve watadraw
 
kifupi Chelsea kama wameshatoka hivi ila basi bado wanasubiri rehema za Mungu, na kama watatoka itakuwa ni timu ya kwanza Ulaya kuchukua ubingwa then ishindwe kufika 16 na kuandika historia ya kipekee maana tayari imeshaandika historia ya kufungwa super cup na A. Madrid
 
JUVE Akiifunga shaktar Chelsea wanatoka kwasababu tayari Shak kashafuzu na miongoni mwa timu zilizofuzu, na ili Chelsea ifuzu lazima Juve afungwe au atoe draw wakati Chelsea wao watahitaji wafunge si chini ya magoli zaidi ya 6 ili kufuzu endapo Juve watadraw

Uefa hawaangalii magoli kaka, wanaangalia face to face results katika nyinyi wawili mliofungana points, juventus na shakter wote wana advantage kwa kuangalia face to face vs chelsea, hapa juventus hatakiwi hata kupata draw, ili chelsea apite juventus lazima afungwe but juventus akipata draw hata chelsea ashinde magoli 100 bado ataepita ni juventus
 
JUVE Akiifunga shaktar Chelsea wanatoka kwasababu tayari Shak kashafuzu na miongoni mwa timu zilizofuzu, na ili Chelsea ifuzu lazima Juve afungwe au atoe draw wakati Chelsea wao watahitaji wafunge si chini ya magoli zaidi ya 6 ili kufuzu endapo Juve watadraw

Juve Ikiifunga Shaktar goal difference ya Shaktar itashuka na Chelsea akiwafunga hao vibonde goal difference ya Chelsea itapanda. Mfano Juve Ashinde 3-0 na Chelsea ashinde 6-0 unadhani hali itakuwaje?
 
uefa hawaangalii magoli kaka, wanaangalia face to face results katika nyinyi wawili mliofungana points, juventus na shakter wote wana advantage kwa kuangalia face to face vs chelsea, hapa juventus hatakiwi hata kupata draw, ili chelsea apite juventus lazima afungwe but juventus akipata draw hata chelsea ashinde magoli 100 bado ataepita ni juventus

hata kama ni hivyo endapo juve atatoa sare na shakt bado chelsea atatoka mana yeye kafungwa mengi na juve. Ila ujue kundi lake imebaki nafasi moja tu maana shakter tayari walifuzu jana
 
Juve Ikiifunga Shaktar goal difference ya Shaktar itashuka na Chelsea akiwafunga hao vibonde goal difference ya Chelsea itapanda. Mfano Juve Ashinde 3-0 na Chelsea ashinde 6-0 unadhani hali itakuwaje?

Yani hakuna jinsi hapo ni JUVENTUS wafungwe UEFA hawatizami goal differences bali head to head na Shaktar wameshafuzu

Miracles do happen na inaweza ikawa
 
Yani hakuna jinsi hapo ni JUVENTUS wafungwe UEFA hawatizami goal differences bali head to head na Shaktar wameshafuzu

Miracles do happen na inaweza ikawa

I see your point.........

A look at the qualification situation in each group with the final round of fixtures to go.

GROUP A

Paris Saint-Germain join FC Porto in the knockout rounds after they won 2-0 at Dynamo Kiev. The two teams play each other in the final round with top spot at stake. PSG must win at home to Porto to achieve that.

Dynamo Kiev are in the Europa League.

Dinamo Zagreb have been eliminated.

GROUP B

Schalke and Arsenal qualify for the next stage with their victories on Matchday Five. Schalke will top the group unless Arsenal win away to Olympiakos and the German club fail to pick up three points at Montpellier.

Olympiakos are in the Europa League.

Montpellier have been eliminated.

GROUP C

AC Milan join Malaga in the Round of 16 with their win at Anderlecht, coupled with Zenit's failure to win at home on Matchday Five. That point for Malaga in Russia secured top spot.

The Europa League place is up for grabs with Zent and Anderlecht level on points and head to head. Zenit currently sit third by virtue of a goal difference of one. Both are away on the final day, Anderlecht at Malaga and Zenit at Milan.

GROUP D

Borussia Dortmund top the group with their win over Ajax as they have a superior head to head record with Real Madrid. Real's point at Man City was enough to secure second place.

Ajax currently hold the Europa League place, and will finish third unless City win away at Dortmund and the Dutch side fail to win at the Bernabeu.

GROUP E

Shakhtar Donetsk have qualified as Chelsea cannot overtake them on head to head record and they need a point at home to Juve to secure top spot, a result which would also send the Serie A side through.

Juventus only need a point at Shakhtar due to their superior record against the Premier League side.

Chelsea can only qualify if they beat FC Nordsjælland and Juventus lose in Ukraine.

FC Nordsjælland have been eliminated which means either Chelsea or Juventus will drop into the Europa League.

GROUP F

Valencia and Bayern Munich have both qualified for the knockout rounds and Valencia can only top the group by bettering Bayern's result on the final day.

BATE Borisov are guaranteed a place in the Europa League due to their superior head to head with Lille.

Lille have been eliminated.

GROUP G

Barcelona have qualified as group winners.

Celtic must better Benfica's result on the final day to go through. And with Celtic at home to Spartak Moscow and Benfica away at Barcelona it is still all to play for.

Spartak Moscow have been eliminated.

GROUP H

Manchester United have qualified as group winners.

Galatasaray are in the box seat, having only to match Cluj's result to book their place in the last 16. Gala are at `Braga while Cluj must travel to Manchester United - meaning the Turkish side are hot favourites to progress.

Braga have been eliminated.
 
JUVE Akiifunga shaktar Chelsea wanatoka kwasababu tayari Shak kashafuzu na miongoni mwa timu zilizofuzu, na ili Chelsea ifuzu lazima Juve afungwe au atoe draw wakati Chelsea wao watahitaji wafunge si chini ya magoli zaidi ya 6 ili kufuzu endapo Juve watadraw
hamna cha agoli hapo,hapo face to face inaangaliwa hata chelsea ashinde 2000 juve anahitaji draw yoyote ile,ndio maana shaktar kapita 7bu wao face to face na chelsea kama ni mtoano chelsea katoka ndio sheria inayotumika uefa hiyo
 
Juve Ikiifunga Shaktar goal difference ya Shaktar itashuka na Chelsea akiwafunga hao vibonde goal difference ya Chelsea itapanda. Mfano Juve Ashinde 3-0 na Chelsea ashinde 6-0 unadhani hali itakuwaje?
hawaangalii hivyo uefa kaka,face to face kama la liga,world cup qualification in africa sheria hiyo ya face to face ndio inatumika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom