hapo umenielewesha vizuri kabisa... so kwa hali hiyo chelsea hana chake hapoShaktar ana 10 points tayari na ana advantage sana ukichek face to face fixtures with chelsea... Pona ya chelsea ni juventus afungwe tu na shakter na tatizo shaktar hawezi kumzuia juventus hasa hasa kwenye game hiyo muhimu.. Maana hata mechi ikiisha draw juventus anafikisha point 10 ambayo nayo inampa automatic qualifications hata chelsea akishinda 100 kwa bila, uefa wanaangalia face to face mlivyokutana nani alimfunga mwenzake na kwa hilo juventus na shakter wote wana advantage mbele ya chelsea
The dismissal of Di Matteo follows the only real blip in results since he succeeded Andre Villas-Boas in February, with the club having won just two of their past eight matches.
Chelsea say that they will be making an announcement "shortly" regarding a new first-team manager, with Rafael Benitez and Avram Grant among the options to succeed Di Matteo on an interim basis.
Ideally, Abramovich would like to appoint Pep Guardiola, the former Barcelona manager, but it is unclear whether he would be available before the end of the season.
The sacking of Di Matteo means that Chelsea are searching for their ninth manager since Abramovich purchased the club nine years ago, in 2003. To date, only Jose Mourinho and Carlo Ancelotti have survived more than one season.
Chelseas statement this morning pointed to "recent performances and results" but, even by Abramovichs standards, Di Matteo has been judged over a remarkably short timescale.
Source: Roberto Di Matteo sacked by Chelsea after Champions League defeat against Juventus - Telegraph
mechi inayofuata wanatakiwa kushinda na juve wafungwe kitu ambacho ni kigumu
umesahau walivyo mfukuza yule m islaeri wakati timu ilikuwa inafanya vizuri sanadimatteo ni kocha safi tuh,ila abromovich hana subira,kwa msimamo huo wa kundi lao sio kama chelsea iko hopless kwa kias cha kufikia jamaa kutupiwa virago,ingekua fair basi kama kweli wao wnathamin mchango wake wasubiri waone kama keshashindwa kuwavusha kwenye ngwe hiyo ndipo wafanye maamuz mazito,,sasa kocha gani anaependa heshima ya kibarua chake anaweza thubutu kwenda chelsea,labda kufuata pesa,lkn changamoto ya kutegemea kupewa nafasi haipo kabisa kwenye club ile
club ya ajabu sana
umesahau walivyo mfukuza yule m islaeri wakati timu ilikuwa inafanya vizuri sana
Mbona hawajatolewa? Juventus wakifungwa na SHAKHTAR na wao wakaifunga hiyo ingine wamepita! hata Juventus ikishinda na wao wakawafunga hao vibonde wamepita.....the group is wide open but Mr Abramovich must be a madman
Group E
Home Away Total Clubs P W D L W D L W D L F A +/- Pts 1 FC Shakhtar Donetsk 5 2 0 0 1 1 1 3 1 1 12 7 5 10 2 Juventus 5 2 1 0
0 2 0 2 3 0 11 4 7
9 3 Chelsea FC 5 1 1 0 1 0 2 2 1 2 10 9 1 7
4 FC Nordsjælland 5 0 1 2 0 0 2 0 1 4 3 16 -13 1
JUVE Akiifunga shaktar Chelsea wanatoka kwasababu tayari Shak kashafuzu na miongoni mwa timu zilizofuzu, na ili Chelsea ifuzu lazima Juve afungwe au atoe draw wakati Chelsea wao watahitaji wafunge si chini ya magoli zaidi ya 6 ili kufuzu endapo Juve watadraw
JUVE Akiifunga shaktar Chelsea wanatoka kwasababu tayari Shak kashafuzu na miongoni mwa timu zilizofuzu, na ili Chelsea ifuzu lazima Juve afungwe au atoe draw wakati Chelsea wao watahitaji wafunge si chini ya magoli zaidi ya 6 ili kufuzu endapo Juve watadraw
uefa hawaangalii magoli kaka, wanaangalia face to face results katika nyinyi wawili mliofungana points, juventus na shakter wote wana advantage kwa kuangalia face to face vs chelsea, hapa juventus hatakiwi hata kupata draw, ili chelsea apite juventus lazima afungwe but juventus akipata draw hata chelsea ashinde magoli 100 bado ataepita ni juventus
Juve Ikiifunga Shaktar goal difference ya Shaktar itashuka na Chelsea akiwafunga hao vibonde goal difference ya Chelsea itapanda. Mfano Juve Ashinde 3-0 na Chelsea ashinde 6-0 unadhani hali itakuwaje?
Yani hakuna jinsi hapo ni JUVENTUS wafungwe UEFA hawatizami goal differences bali head to head na Shaktar wameshafuzu
Miracles do happen na inaweza ikawa
hamna cha agoli hapo,hapo face to face inaangaliwa hata chelsea ashinde 2000 juve anahitaji draw yoyote ile,ndio maana shaktar kapita 7bu wao face to face na chelsea kama ni mtoano chelsea katoka ndio sheria inayotumika uefa hiyoJUVE Akiifunga shaktar Chelsea wanatoka kwasababu tayari Shak kashafuzu na miongoni mwa timu zilizofuzu, na ili Chelsea ifuzu lazima Juve afungwe au atoe draw wakati Chelsea wao watahitaji wafunge si chini ya magoli zaidi ya 6 ili kufuzu endapo Juve watadraw
hawaangalii hivyo uefa kaka,face to face kama la liga,world cup qualification in africa sheria hiyo ya face to face ndio inatumikaJuve Ikiifunga Shaktar goal difference ya Shaktar itashuka na Chelsea akiwafunga hao vibonde goal difference ya Chelsea itapanda. Mfano Juve Ashinde 3-0 na Chelsea ashinde 6-0 unadhani hali itakuwaje?