Roberto Di Matteo sacked by Chelsea after Champions League defeat against Juventus

ndo shida ya kuwa na wamiliki wa klabu wavuta bange

huyu jamaa p.mbavu kabisa aisee,,,,yaani ameshasahau kwua RDM ndo aliwapa kombe la UEFA katika HISTORY ya chelsea kwa mara ya kwanza

leo anafukuzia mbali wakati vijana wanafanya fresh tu EPL

Mi sio mshabiki wa chelsea ila hii makitu imeniuma sana. Mbina makocha wengina hawafukuzwi hivi? pep gurdiola akiingia hapo, anadhani ndo mwarobaini? atampa freedom kama alokuwa nayo FC barcelona?

Anataka Fernadno Torres apangwe tu hata kama hawezi kufunga? daaaaamn
 
Ha ha ha.. Collection ya stars waliopo hapo Man C walitakiwa wawe mabingwa wa ulaya na wangekuwa tayari wamevuka kuingia raundi ya pili Yaya Toure.. Angalia wanavyocheza mipira ya ovyo.. Unakumbuka mechi waliocheza na Borussia pale kwenye uwanja wa Etihad..? Mpira mbovu kabisa..

Mancini akiondoka ndio mwisho wa BALOTELI . anamlea vibaya sana
 
huyu jamaa p.mbavu kabisa aisee,,,,yaani ameshasahau kwua RDM ndo aliwapa kombe la UEFA katika HISTORY ya chelsea kwa mara ya kwanza

leo anafukuzia mbali wakati vijana wanafanya fresh tu EPL

Mi sio mshabiki wa chelsea ila hii makitu imeniuma sana. Mbina makocha wengina hawafukuzwi hivi? pep gurdiola akiingia hapo, anadhani ndo mwarobaini? atampa freedom kama alokuwa nayo FC barcelona?

Anataka Fernadno Torres apangwe tu hata kama hawezi kufunga? daaaaamn

kama Simba na Yanga wanavyoshindana kufukuza
 
Legend

1026790_display_image.jpg
 
Mancini akiondoka ndio mwisho wa BALOTELI . anamlea vibaya sana

Hafugiki mtoto yule.. Halafu Mourinho anaitamani sana Man C ile.. Alishakuwa nae kule Intermilan.. Anaujua utukutu wake.. Anaweza akawa distraction kwenye timu na Mourinho hapendi hilo..
 
Sijajua vizuri sheria za UEFA but mechi ya Juve na Shakhtar ikiwa sare inatakiwa Chels ashinde goli 7-0. Je itawezekana hilo. Suala la juve kufungwa halipo kabisa as long mnatutambua kabisa, Mpira tunajua kucheza then mipango yetu kama kawaida. Wachezaji wakikamia mechi lazima kunawachezaji watapewa njano either wa Shakhtar au Juve Hiyo itawapelekea kumiss next Game za Round ya 16. So game itakua nyepesi kwa timu zote. Tena natamani Juve tumalize wapili ili tupate hao vinara wa makundi.
 
Hii ilitegemewa tangu msimu ulipoanza kuwa ipo siku kabla ya msimu kuisha huyu jamaa atafukuzwa.
 
Sosoliso nakuheshimu bana...Mancini wetu atimuliwe kafanya nini?...hebu tupishe bana ..hata kama tunafungwa vyenga twawala

kaka y toure mancini anazingua sana maana kila siku tunatoka mzunguko cheki capital a wakwanza kutoka huyu jamaa ashukuru yule mpemba hana mchecheto na ushindi wa timu wala kutaka mafanikio ya kuchukua ndoo za uefa na ueropa..
 
Sijajua vizuri sheria za UEFA but mechi ya Juve na Shakhtar ikiwa sare inatakiwa Chels ashinde goli 7-0. Je itawezekana hilo. Suala la juve kufungwa halipo kabisa as long mnatutambua kabisa, Mpira tunajua kucheza then mipango yetu kama kawaida. Wachezaji wakikamia mechi lazima kunawachezaji watapewa njano either wa Shakhtar au Juve Hiyo itawapelekea kumiss next Game za Round ya 16. So game itakua nyepesi kwa timu zote. Tena natamani Juve tumalize wapili ili tupate hao vinara wa makundi.

Uefa mkilingana point wanaangalia Head to head kumbuka Euro 2012 Russia walipotoka 1st round na Greece wakapita wakilingana point ila Greece waliifunga Russia 1-0 na bado Russia walikuwa na uwiano mkubwa wa magoli walimchapa Czech Republic 4-1 game ya kwanza

Draw yeyote ya Juve na Shaktar chelsea nje
 
Kwanini aje Pardew we unamuonaje Martin O'neil? Akija yule pale habari nyingine Emirates

Pardew kwa sasa ana ule uchawi wa wenger aliokuwa nao zamani ... wa kuchukuwa unknown na kumfanya kuwa known.. angalia usajili wake pale Newcastle ... cheap + class
 
Pardew kwa sasa ana ule uchawi wa wenger wa kuchukuwa unknown na kumfanya kuwa known.. angalia usajili wake pale Newcastle ... cheap + class

Cabaye,Tiote,Demba,Cisse,Krul ila ma mipira yalivyo anaweza akaondoka AW ikawa balaa timu ikayumba mpaka tukajuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom