Roberto Di Matteo sacked by Chelsea after Champions League defeat against Juventus

Wameenda mechi kibao bila ushindi kumbuka,Swansea,Liverpool,WBAlbion,Juventus
Hiv hata kama ni ww umetoa hela kikosi kizuri unaona tactics ndio mbaya utafanya nn?
Na inaonesha hata kama asingefukuzwa leo jtatu angetimuliwa baada ya Mancity match
 
Sio sababu mbona MARK HUGHES hajatimuliwa QPR?
 
Hapana
  • Chelsea wakisinda wanafikisha pointi 10 (inabidi wapige bao 4)
  • Juventus wakishinda wanafikisha pointi 12( na Shaktar wanabaki na 10)
  • Shaktar wakishinda wanafikisha point 13 ( Juve wanabaki na 9)

Wakitoa sare Juve na Shaktar? Tehe tehe tehe tehe na Juventus ataenda kuisaka iyo Draw kwa kudefend mwanzo mwisho na mpaka hapo wanasubiri bahati
 
Juve atakuwa na 10 na Shaktar atakuwa na 11....hapo Chelsea lazima wabamize bao 6 au zaidi wakiwa nyumbani.......bado wana chance....Juve hawako safe its all down to a good goal difference.....hicho kitimu kimeshameza bao 16 mpaka sasa!
 
nasikia Roman anamtongoza PEP sasa...

PEP hawezi kuja kwenye timu yenye kocha mvuta bange..PEP atatua Arsenal sio kwa mivuta bange darajani...mi ndo maana nikahamia zangu Etihad....timu linafungwa lakini vyenga twawala...ushanifamu ivooo
 
Juve atakuwa na 10 na Shaktar atakuwa na 11....hapo Chelsea lazima wabamize bao 6 au zaidi wakiwa nyumbani.......bado wana chance....Juve hawako safe its all down to a good goal difference.....hicho kitimu kimeshameza bao 16 mpaka sasa!

juve ana point 10 wewe tizama vizuri
 
Sosoliso nakuheshimu bana...Mancini wetu atimuliwe kafanya nini?...hebu tupishe bana ..hata kama tunafungwa vyenga twawala

Ha ha ha.. Collection ya stars waliopo hapo Man C walitakiwa wawe mabingwa wa ulaya na wangekuwa tayari wamevuka kuingia raundi ya pili Yaya Toure.. Angalia wanavyocheza mipira ya ovyo.. Unakumbuka mechi waliocheza na Borussia pale kwenye uwanja wa Etihad..? Mpira mbovu kabisa..
 
Ha ha haa......Manshit
 
Mi nilijua kipigo cha jana cha mjini turin lazima afukuzwe mtu...

But I still believe juventus are goin to loose to shakter in ukrain next week and chelsea beat that team from norway and qualify together with shakter while juventus goes to europa league...

In football anything can happen

not for juve wewe lazima shartar afe tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom