Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

sasa wewe unataka kila mtu atajirike? haiwezekani, capitalism haipo ivo! au hujui maaana ya capitalism? nadhan tushaskiliza izi Pumba zenu za demokrasia na tushazichoka, nadhan muanze kwa kuonyesha mfano! wekeni mwenyekiti mpya kwanza tujue nyie sio wachumia tumbo
Maisha ni zaidi ya utajiri. Muhimu watu wote wamudu kupata basic needs tu
 
Hii ya kila mtu apate basic needs ni mfumo wa kijamaa(socialism)
Kwa mfumo wa sasa duniani, ni lazima wawepo ambao watashindwa kupafa hizo basic needs
Sio kweli ukitengeneza mfumo bora wa uchumi kwa kuwachochea wengi wawe matajiri kwa kuwajengea wananchi utamaduni wa kupenda zaidi kumiliki vitu utasaidia wengi Sana hasa masikini kuweza kujimudu nao kuweza kupata basic needs. Ukiruhusu mzunguko wa pesa nchini, chochea ukuaji sekta binafsi, punguza au ondoa Kodi kandamizi, ruhusu ukuaji wa demokrasia, wawekezaji wataongezeka, ajira zitaongezeka, makusanyo yataongezeka.
 
Maisha ni zaidi ya utajiri. Muhimu watu wote wamudu kupata basic needs tu

hahaha dogo capitalism haipo ivo, which type of earth are you living! Hata biblia imesema mwenye nacho anaongezewa na asio nacho hata kile kidogo kitachukuliwa, thats how life is! sasa wewe unabishana na Muumba wako pia ama? the fact you know we are in capitalism is enough kujua dunia inaenda wap, all words unarusha hazina maaana ukishajua tu dunia inaendeshwa kwa capitalism
 
Thus hatuwezi songa boss wako analazimisha ujamaa ni lzm atafeli Kama alivyofeli Mwalimu.
 
sasa mbna unapiga kelele sjui kuna maskini sjui wap wap while unajua kabisa tupo capitalism!
Masikini wa tza wamelazimishwa na watawala kimakusudi ili waweze kuwatawala sababu hawana confidence ya kuwatawala matajiri na wasomi so lazm wawafanye watu wawe masikini kimakusudi kwa kuwasomesha namba, masikini wa wenzetu ni wa kimazingira zaidina si wa kimfumo
 
hueleweki
 
Kafungueni tu
Kabla ya uchaguzi mlitamba humu kwamba safari hii Magufuli na CCM hawana pakutokea(hasa wewe). Lakini nashangaa nyinyi hao hao mnakuja na uongo mara ICC sijui EU MISAADA.
Kubalini yaishe,mjipange wakati mwingine wananchi tutawaelewa tu
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.

Itakuwa LIVE hapa > Committee on Foreign Affairs
tanzania is not part of EUROPE but is an independent country.
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.

Itakuwa LIVE hapa > Committee on Foreign Affairs
Kumbe hamnaga ya maana ya kujadili nilijua mtajadili corona india kwa sasa kumbe siasa za tanzania Mwe??
 
Back
Top Bottom