Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 8,277
- 8,492
Huyu ndiye Mgombea wa CHADEMA 2025Keyboard worriors ! Kaja Lissu mkampenda ,kaitisha maandamano hamkumpa sapport katimka zake kaona hamna maana! Leo hii mmeamia kwa Amsterdam ,Nothing new!

TunduKwa dada yetu Nani mkuu?😂
Weka akiba ya maneno vaitaa.Robert Amsterdam anatapatapa.
Utaumia bure ndugu yangu, haya manyumbu hata uyaambie ukweli hayaelewi unajisumbua tuu.Ninyi kweli vilaza na nyumbu. Hivi kweli bado tu huyu mpuuzi kawashikilia akili zenu.
Basi subirini aendelee kuwathibitishia.
MTU MWENYE AKILI, AKIKUAMBIA JAMBO LA KIPUMBAVU, NA ANAJUA UNA AKILI, NA UKALIKUBARI, ANAKUDHARAU. Mwl. J.K. Nyerere.
Babu Amstaderm kawashikia akili zenu.
Fanyeni kazi, achaneni na upuuzi wa kushikiwa akili na wazungu. Hawapigi kura mjue na 2025 sio mbali na hii 2021 bado mnapiga kelele na porojo Chama kinakufa.
Uongo mtupu. Hakuna cha kufunguwa au kufunguliwa kesi. Hiyo ilikuwa tishia toto dogo. Tundu Lissu na Amstedam walipata mradi wa kukusanya pesa toka wahisani wakijidai za kuendeshea kesi ICC. Pesa wameisha pata sasa wanatafuta njia ya kutokea ili wazitumie hizo pesa na familia zao. Hao wawili ni wanasheria waliobobea na hayo waliyajuwa mapema lakini wakaendelea kuwadanganya wafuasi jinsi serkali ya TZ itakavyo shughulikiwa huku wakijuwa ni uongo. Matapeli saana hao. Sasa wanakula matapishi yao. Ukweli ni huu hapa, pakua: Tanzania elections: Why Chadema hasn’t filed a case at the ICCBaada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kitendo tu cha kujadikiwa na umoja wa Ulaya ni aibu kubwa kwa sifa ya Tanzania iliyokuwa nayo.Mzee ICC sio Kisutu. Jiandaeni tu
Kitendo tu cha kujadikiwa na umoja wa Ulaya ni aibu kubwa kwa sifa ya Tanzania iliyokuwa nayo.
Kitendo cha ma file kufika kwa mwendesha mashitaka hata kama hayatapita ila ni fedheha kubwa kwa taifa letu.
Yote haya yameletanizwa na CCM; uchu wa madaraka!!
Kipi cha kushangaza? Msumbiji, Namibia, South Africa kote huko walikombolewa kwa nguvu kutokea nje.
Atapata taabu sanaaaaRobert Amsterdam anatapatapa.
Kamanda kesi ya ICC imefikia wapi?
Hilo ndio jambo ambalo MATAGA wanashindwa kuelewa. Kwa heshima ya Tanzania ilivyo kuwa, kitendo cha kuchunguzwa na Chief prosecutor wa ICC sio jambo lenye afya hata kidogo.Kitendo tu cha kujadikiwa na umoja wa Ulaya ni aibu kubwa kwa sifa ya Tanzania iliyokuwa nayo.
Kitendo cha ma file kufika kwa mwendesha mashitaka hata kama hayatapita ila ni fedheha kubwa kwa taifa letu.
Yote haya yameletanizwa na CCM; uchu wa madaraka!!