Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Hapa mpaka tuanze kutafutana kwa mchaka mchaka wa Libya Ndio heshima itarudi
Hatuwezi kuvumilia mateso yote haya
Halima Mdee kila siku polis wanamuandama.... Leo Tena
Somanga mabomu kwa nini???????

Itapendeza kama wewe siku hiyo utakuwa mstari wa mbele ili kupitia kwako wengine tujifunze!
 
Itapendeza kama wewe siku hiyo utakuwa mstari wa mbele ili kupitia kwako wengine tujifunze!
Freshi mkuu unafikiri Libya kulikua na shida?
Tatizo Gaddafi alitawala watu kiubaguzi
Wengine tabaka lingine wengine tabaka jengine
Hii ni nchi yetu sote au tuishi kwa haki amani na upendo
Au kimbembe cha wote
Hakuna kheri wala Dotto wote kambi ya wakimbizi
Kuna watu wanajusahau Sana
Tunajisikia vibaya kunyanyaswa kwetu
 
Tumekuelewa; tunachohitaji sisi ni wewe kuwa mstari wa mbele ili uwe mfano kwa sisi wengine!
 
huyo mgeni kageuzwa kuwa propaganda za kumzuia Lissu kushinda urais,.Lissu ni tishio kubwa ana nguvu kubwa kisiasa hata bila huyo mzungu.Wapinzani wa lissu wamepata hoja kumtwanga Lissu akose ushindi,Hata hivyo Lissu ni mtanzania na ni mzalendo wa nchi yake,Hadhira inaonesha kumkubali.

Inabidi tu wapinzani wake wafanye kila aina ya propaganda kuzuia ushindi wake ambao ni dhahiri unaonekana kwa jinsi wananchi wanavyomhitaji kuongoza mabadiliko ya kisiasa
 
huyo mgeni kageuzwa kuwa propaganda za kumzuia Lissu kushinda urais,.Lissu ni tishio kubwa ana nguvu kubwa kisiasa hata bila huyo mzungu.Wapinzani wa lissu wamepata hoja kumtwanga Lissu akose ushindi,Hata hivyo Lissu ni mtanzania na ni mzalendo wa nchi yake,Hadhira inaonesha kumkubali.Inabidi tu wapinzani wake wafanye kila aina ya propaganda kuzuia ushindi wake ambao ni dhahiri unaonekana kwa jinsi wananchi wanavyomhitaji kuongoza mabadiliko ya kisiasa

Kama Lissu ni mzalendo, basi tupo watu wengi sana ambao hatujui maana ya neno mzalendo. Nijuavyo mimi, mzalendo ni muumini wa falsafa ya Taifa Kwanza. Sijawahi kuona mzalendo anayehujumu taifa lake, kwa maslahi binafsi!
 
I am beginning to think Amsterdam is another ‘mental case’ who does this guy think he is in this world; the US president or somen? What an egomaniac.

Wakuwalaumu ni Fatma Karume na Tundu Lissu kwa kumuaminisha he actually matters; like serious huyu mtu kwenye kichwa chake anaamini serikali ya Tanzania ina muogopa au huyo Lissu wake kweli ana supporters wa ivyo.
Mwambie aende akaichunguze Home land Department ya huko Marekani kabla ya kuingilia mambo ya Tanzania.

Kama Lissu ni mzalendo, basi tupo watu wengi sana ambao hatujui maana ya neno mzalendo. Nijuavyo mimi, mzalendo ni muumini wa falsafa ya Taifa Kwanza. Sijawahi kuona mzalendo anayehujumu taifa lake, kwa maslahi binafsi!
Hata huyu wakili wake ni tapeli wa kimataifa.

Hata huyu wakili wake ni tapeli wa kimataifa.

"As shameful and criminal as Robert Amsterdam's behavior is in supporting a violent political front for a convicted criminal and mass murderer, at least Amsterdam admits he is doing so because he is a paid lobbyist. Unfortunately, it appears he has also constructed a network of faux "third party independent voices" he uses to lend his message credibility his status as a paid lobbyist cannot
 
Kama Lissu ni mzalendo, basi tupo watu wengi sana ambao hatujui maana ya neno mzalendo. Nijuavyo mimi, mzalendo ni muumini wa falsafa ya Taifa Kwanza. Sijawahi kuona mzalendo anayehujumu taifa lake, kwa maslahi binafsi!
Kuhusu hujuma sijui, Ila mwanasiasa yeyote ni mzalendo wa maslahi yake kwanza halafu huu uzalendo mwingine Kama upo kweli unafuata.
 
Hivi ni sahihi kweli tuonywe na kukaripiwa kama mtoto mdogo na mtu mmoja wa nje kwamba kutakuwa na 'serious consequences' kwa kile tunachoamua hapa nchini kwetu? Kama tungekuwa na ugomvi na mtu wa nje kama yule aliyekuwa akishika ndege zetu, pale inaeleweka kwa kuwa suala linahitaji usuluhishi wa kimataifa.

Suala la sasa linahusu mambo ya Kitanzania. Halafu anajitokeza mjinga mmoja na kuanza kutoa maonyo makali. Ni sawasawa na mimi nije nyumbani kwako nianze kukupa maonyo kwamba shughuli za nyumbani kwako uziendeshe kwa taratibu kadhaa na nikazie kwa kusema kwamba kama hukufanya hivyo utaona cha mtema kuni.

This is too much. Ndiyo maana minong'ono imezagaa kwamba nchi inauzwa kwa mabeberu na, Mungu pishia mbali, kama Lissu atakuwa Rais wa nchi hii, tutakuwa tumeisha. Itakuwa kusikiliza tu wakubwa wanasema nini na kutekeleza hayo. Mambo yamejidhihirisha asubuhi na mapema.

Watanzania tuna wajibu wa kusoma dalili na kufanya uamuzi bora. Tusifanye makosa ya kumpigia kura Lissu maadam amedhihirisha wapi atakakotupeleka pindi akiwa Rais wetu. Atakuwa kibaraka wa mabeberu wa nje anaamrishwa fanya hivi na anatii.
 
Tumekuelewa; tunachohitaji sisi ni wewe kuwa mstari wa mbele ili uwe mfano kwa sisi wengine!
Kama nacheka vile front line
Hii nchi inatakiwa watu tujitolee muhanga maana.... Kuna watu wanafikiri nchi hii ni ya kwao peke yao
Tumechoka kuishi kinyonge kwenye nchi yetu
 
Sijui kama unaelewa ulichokisema! Kuna 15 presidential candidates. Hivi kama kila candidate atatafuta foreign actors wa kuipa nchi maelekezo, hii nchi itakuwa taifa la aina gani?
Maelekezo hayana impact as long as kuna usawa na haki. Hata dunia nzima ikisema uchaguzi uwe huru na haki kama ni huru na wa haki hakuna tatizo.
 
Jamaa hafai Msikitini wala Kanisani,
Jamaa si Ubuyu si Ukwaju chachu tupu,
Jamaa ni muongo kuliko shetani,
Jamaa ana ndimi mbili na muuaji,
Chagua Haki ili Nchi iwe na Amani....
 
Ukiona mgombea anatetewa sana na wazungu ujue kuna jambo wanalitaka
Kabisa ndio maana hatutampa kura watanzania hawatujui tukipigania Uhuru tujitawale mzungu hawezi kutupa mtu awe raisi wetu .Lisu hatumpi kura
Yeye kaletwa na wazungu .Tumpe mtanzania mwenzetu Magufuli
Kwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
Kwani Magufuli ana mpango wa kwenda ulaya au Marekani au ana akaunti ulaya au Marekani?

Hawa wazungu na Lisu wao wanajiona sana wanafikiri kila mtu ana mpango wa kwenda ulaya au Marekani au kufungua akaunti kwao

Kuna siku nilimsikiliza Lisu nikamuona akili hana kabisa alikuwa akiongea ohhh kuna watu wakienda nje watakamatwa labda maisha yao yote wakae Tanzania nikajiuliza hili bwege linasemaje? Linadhani kila mtu ana mpango wa kwenda nje !!! hata ulaya na Marekani wako watu kibao hawana mpango wa kwenda nje ya nchi zao
 
Kwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
Dah...yaani bado watu wanawaza kuhusu US & UK nyakati hizi...Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom