Road to Moscow | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Road to Moscow

Discussion in 'Sports' started by Icadon, May 14, 2008.

 1. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Haya wadau ngoma imebaki siku 7 kabla mafahari wawili hawajaumana...few pics to make time fly by.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [​IMG]
  Comrade Ferguson, hero of the home counties middle classes, defies the capitalist ringmaster Roman Abramovich and his puppet Avram Grant," trumpets Clem Halpin
  [​IMG]
   
 3. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Kama you are prone to seizures na mambo kama hayo tafadhali usiangalie maana unaweza kushindwa kuona mechi wiki ijayo ila kama husumbuliwi crank up your speakers and enjoy

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=E8o3ooX_tUk[/media]
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160

  Mkuu Icadon asante,
  Nimefurahi sana kuona Giggs alichowatenda Ganaz...then ikazaa tripple win!
   
 5. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Lile goli lilikuwa si mchezo mpaka leo naikumbuka ile mechi vizuri....ebanae I went crazy on that trailer...
   
 6. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Definetely Man Utd will win by 2 goals
   
 7. Ngonalugali

  Ngonalugali JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2008
  Joined: Jan 12, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Ukiachilia dini kitu kingine ninachokipenda ni mpira. Na nikitaka kuzungumzia vilabu vya Ulaya huwa nagusia klabu moja tu na nyingine nakuwa nashindwa namna ya kuzizungumzia kwani haziningii sana. Timu inayonishawishi kuzungumzia ni Manchester United. Kwa mashabiki wa soka mlioko humu naomba kujitambulisha kwenu.

  Tarehe 21 itakuwa patashika kwani mtu mmoja atanyolewa.
  Kwa haraka haraka utaona kwamba jamaa wa darajani wamepoteza form kwa siku za karibuni na ili kugain wanahitaji kupoteza mechi mbili ama tatu.

  Kwa kuzingatia usemi huo hapo juu na-conclude kwamba Chelsea itabamizwa 4 O'clock kule Moscow.

  Naomba kutoa hoja!
   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mkuu ngonalugali karibu sana hapa, stress free zone!
  Mkuu Gembe timu baada timu kubaki 8, nilipredict Man na Chelsi kukutana final... na ndio hii 21st May.... nakuunga mkono ushindi wa bao 2 kwa Man. Reason? They will have very good 11 players in the pitch plus 1 excelent 'player' (SAF) on the technical bench. The bluuz are only 11!
   
Loading...