Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,962
- 2,138
Nipo najiandaa kusafiri kutembelea sehemu mbalimbali za Tanzania hivi karibuni, na ninahitaji umbali wa kutoka Dar es Salaam hadi makao makuu ya kila mkoa Tanzania bara kwa usafiri wa barabara katika vipimo vya kilometre. Nimejaribu kutembelea website ya TANROADS, hakuna takwimu za umbali, wameweka ramani tiu. Please, naomba yeyote aliye na takwimu ninazohitaji mfano Distance Chart anipatie. Natanguliza shukrani