Chukua hazina shida kabisaJamani nani ana udhoefu wa hizi tyres... je will you reccommend them over Blacklion, BF goodrich or? Zinadumu?View attachment 1918013
Tairi za kichina zote tiamaji tiamaji dunduliza ununue Danlop mkataba inatembea mpaka kilomita elfu hamsini
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Zinafaa kama matumizi yako ni hayo.Just officine nyumbani
Km 50,000 wewe unatembea muda gani. Nimeona safari zako ni kazini,nyumbaniElfu 50.000 mbona kidogo
Just officine nyumbani
bf goodrichKwahiyo kwa sisi wa mara mkoani mara rough road.. tairi best ni zipi ?