Rizwani agomea kikao cha UVCCM na Tamko

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
wanandugu,naomba kuuliza, mbona Rizwani hakuwepo kwenye kikao cha jana cha UVCCM wakati wanatoa tamko? yeye hausiki au amekacha ili kumstahi muheshimiwa, maana walichofanya vijana kama kuikashifu serikali na viongozi wake mafisadi, mbona kijana hakuonekana??
 
Kwani lazima awepo yeye ndio kikao kiendelee? Haya mengine ni uzushi inabidi uje na ushahidi wa kutosha kumhukumu kuwa amekacha kikao.
 
wanandugu,naomba kuuliza, mbona Rizwani hakuwepo kwenye kikao cha jana cha UVCCM wakati wanatoa tamko? yeye hausiki au amekacha ili kumstahi muheshimiwa, maana walichofanya vijana kama kuikashifu serikali na viongozi wake mafisadi, mbona kijana hakuonekana??
Serikali ilishajiozea hata awepo au asiwepo RZ1 kwenye kikao.
Zaidi sana Wengine pale tunaona kitu kinachotisha zaidi ni kumtukana bila sababu Dr Slaa, na kumdhalilisha kwa jamii!
Watakapojibiwa kwa matusi ya nguoni kwa Rais wao wasilalamike!
 
Hivi hilo tamko lilikuwa linaikashifu Serikali ama lililenga kutukana baadhi ya watu kwenye jamii ya Watanzania?
 
wanandugu,naomba kuuliza, mbona Rizwani hakuwepo kwenye kikao cha jana cha UVCCM wakati wanatoa tamko? yeye hausiki au amekacha ili kumstahi muheshimiwa, maana walichofanya vijana kama kuikashifu serikali na viongozi wake mafisadi, mbona kijana hakuonekana??

hoja yako ni sawa na mtu angeuliza mbona Osama Bin Laden huwa haonekani akipigana bega kwa bega na wanamgambo wa Taleban na Al Qaeda?
 
wanandugu,naomba kuuliza, mbona Rizwani hakuwepo kwenye kikao cha jana cha UVCCM wakati wanatoa tamko? yeye hausiki au amekacha ili kumstahi muheshimiwa, maana walichofanya vijana kama kuikashifu serikali na viongozi wake mafisadi, mbona kijana hakuonekana??

The heading and the story itself are different labda ingekuwa hivi " Riz1 hakuwepo jana wakati uvccm wakitoa tamko" au vipi mkubwa au ulitaka kuvuta wasomaji kama ndio sio mbaya. Gud day
 
Inawezeka na akidi haikutia hivyo tamko likawa batili au wajumbe wa mikoa hawakujulishwa hivyo tamko hilo ni batili,
Yetu macho
 
who is RZ1?my poor country,yani watu hawawezi kuongea au kusema maoni yao just coz huyo jamaa hakuwepo?kwani akunyimae kunde si kakupunguzia ...........?
 
The heading and the story itself are different labda ingekuwa hivi " Riz1 hakuwepo jana wakati uvccm wakitoa tamko" au vipi mkubwa au ulitaka kuvuta wasomaji kama ndio sio mbaya. Gud day

A & B yote ni sawa
 
Ingawa huwa siisapoti CCM, nimependa japo kauli yao ya kuhoji waziwazi na kutoa way forward.. Ni ujasiri ambao Mwenyekiti wao wa chama (JK) hana pia viongozi waandamizi. Nimependa fikra mpya zenye muelekeo wa kujali mustakbali wa nchi, Natumaini wako serious sio sanaa ya kisiasa...
 
Kwani lazima awepo yeye ndio kikao kiendelee? Haya mengine ni uzushi inabidi uje na ushahidi wa kutosha kumhukumu kuwa amekacha kikao.[/QUOT

Suala si kwani lazima awepo yeye, yumkini amerespect heshima ya mdingi tu hapo...akili kichwani!!
 
Ingawa huwa siisapoti CCM, nimependa japo kauli yao ya kuhoji waziwazi na kutoa way forward.. Ni ujasiri ambao Mwenyekiti wao wa chama (JK) hana pia viongozi waandamizi. Nimependa fikra mpya zenye muelekeo wa kujali mustakbali wa nchi, Natumaini wako serious sio sanaa ya kisiasa...

You never know..
 
me hata siwaelewi nyie wachangiaji wa hoja. siasa zimewazidi inaonekana. hata wakibisha,2010 ilikuwa 61% ila 2015 itakuwa 31% pamoja na kuwa wataiba. Tunisia hakukaliki kumbukeni.
 
Sioni hata sababu ya kumtaja. Yaani naye unamuwaza na kutafuta kuwepo kwake?
Kwani naye ni wa busara kuiongoza UVCCM. Au naye ni kiongozi wa baadaye. Tumekwisha maana baadaye mutalifanya jina hili lizoeleke vichwani mwa watu, Kumbe kichaa.
 
Back
Top Bottom