RIZ1 Kikwete anamiliki nyumba aliyonunua bilioni 1?

Ndo maana wanazunguka nchi nzima ili kulinda mijengo yao..
Maisha bora yamebaki kwa familia yao...
Hii ni moja ya sababu za kuitoa CCM madarakani...Wanalindana baada ya kukomba kodi zetu..
 
WASTED :llama:

Personal issues ila ridhwan nafikiri sio kula kula kulala kwa baba kama unavyofikiri wewe.. ni msomi aliyemaliza UDSM! ni TZ its a free country sio china kwamba wakuite na kukuuliza pesa umepata wapi..?! PS si kiongozi wa serikali PIA Nafikiri hiyo ina kutoa nje kabisa ya kuhoji kila anachomiliki yeye binafsi

Tatizo ni wingi wa fedha hiyo kulinganisha na kipato, elimu, muda aliyoipata hiyo pesa et cetera!! Its a free country YES, lakini fedha inapaswa kupatikana kihalali. Umri wa RZ1 na hiyo fedha vina uwalakini!!!

Haya ni matatizo ya serikali yetu, hatuwezi kudefine vipato vyetu!! Eti kwa kuwa ni mtoto wa mkulu basi, akija leo na 1billion, tunasema heee, ni mtoto wa raisi!! What is this? KUna uwalakini. Kama mkuu wangu Mchukia Ufisadi alivyosema, lete source ya habari, tuanza kudadavua kila kitu hadharani!!:hand:
 
WASTED :llama:

Personal issues ila ridhwan nafikiri sio kula kula kulala kwa baba kama unavyofikiri wewe.. ni msomi aliyemaliza UDSM! ni TZ its a free country sio china kwamba wakuite na kukuuliza pesa umepata wapi..?! PS si kiongozi wa serikali PIA Nafikiri hiyo ina kutoa nje kabisa ya kuhoji kila anachomiliki yeye binafsi

Bushiit.
Tanga ana hotel,
Dar mnasema ana 1billioni bangalou
Bado hatujajichimba.
Najua mgao wa deep green ulikuwa mzuri. Watueleze ni kazi gani zinakufanya billionea au biashara gani ili nasi tufanye. Muda umefika kuanza kugawana kwa kutumia nguvu.
 
umesahau kuwa familia nzimz inafanya kila liwezekanalo kurudi ikulu,naona nchi siku hizi imekuwa geto la familia ya jk,yani wanamiliki kila kitu wamekifanya cha famila,sheikh yahaya mwenyewe wanammiliki amekua mali ya familia,ikulu,jeshi la polisi,NEC pamoja na mengine mengi siwezi kutaja
 
Hii thread sijui inatusaidia nini? Yani mtoto wa rais wa Tz hatakiwi awe na sh bilion moja wala hatakiwi awe na uwezo wa kukopa benki hiko kiasi. Hivi tumefanya utafiti na kubaini ni watanzania wangapi leo hii wanaweza kuwa na sh bilion 1? Au ni Chenge tu na RiziOne? Wakati mwingine tujadili yanayoleta tija kwa taifa, haya mambo ya kuhisi na kuhukumu yanadhoofisha utashi wa JF.

Mtoto wa Rais aliyeanza kazi miaka miwili tu iliyopita na hana biashara yoyote isipokuwa kupiga kampeini za kisiasa siku zote, kuwa na bilioni moja za ziada za kuweza kununulia nyumba ni jambo kubwa sana. Kama alikopa benki tutajua huko mbeleni. Kumbuka kuwa katika kipindi chote alichokaa madarakani Rais Clinton hakuweza kupata pesa za namna hiyo katika kipindi chake chote cha uraisi wake; Rais Bush yeye aliweza kuzipata katika miaka miwili kwa sababu alikuwa na biashara zake binafsi zinazojulikana na mashahara wa rasi kuwa umepanda hadi dola laki nne kwa mwaka, na Rais Obama yeye kazivusha kwa sababu ya vitabu vyake ambavyo vimekuwa vinanunuliwa sana tangu angali seneta. Huu ukurupukaji wa kujipatia pesa za umma bila kuzitolea jasho ndilo unaofanya watu wasiwe na uchungu na nchi hii, wako madarakani ili kujipatia pesa hata kwa njia za kuuza nchi, halafau wanawadharau wananchi kwa kudai kuwa umaskini wetu ni kwa sababu tunakaa kijiweni kama tulivyowahi kuambiwa na Lowassa miaka ya nyuma.
 
Dogo wa tujisenti huyo. Halafu cha kushangaza ni kwamba, atakuja kuwa presidaa wenu mtake msitake, chaguo la baba huyo!!! Nasubiri siku hiyo. Sijui nitakuwa nimesha retire utumishi wangu, maana nitapiga kampeni ya chinjachinja nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka.
 
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi Ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.

DU hi kali
 
Umeniacha hoi kweli!!!!

Kwa mwendo huu, huyu dogo atakapofikia umri wa Chenge atakuwa tajiri kama Bill Gates!!!
 
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi Ikulu?. Mwenye huakika atujulishe
Mulamuzi, hii sasa inageuka chuki binafsi!, kwani kijana ni public servant, huyu ni advocate!, mbola hiyo bilioni moja ni fees ya kesi moja tuu!. Hebu kaangalie ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG, kwenye ripoti ya BOT uone mwanasheria Mkono amelipwa kiasi gani kwenye kesi moja tuu ya Valambia!.

IMMA ni moja ya reputable law firms hapa mjini, nimeona young lowyers waliojiunga nayo juzi tuu, leo wameshavuta ma-vogue na ma Hammer barabarani, itakuwa hiyo bilioni?!.

Naona sasa hili jina has became an obsession to some, mwacheni jamani kijana na nyota yake, mtaifanya JF yote tuishie kuonekana tumuonea wivu, just givi him a break, let him alone!.
 
Ama kweli Pasco!! Nilikuwa nakuamini.......................!!!!!
 
Slaa aligusia kuhusu uyu dogo kumiliki nyumba za thamani ktk mkutano wake wa Iringa
Kazi gani imemuingizia billion and for how long?Mtoto wa nyoka ni nyoka tuu
 
Mulamuzi, hii sasa inageuka chuki binafsi!, kwani kijana ni public servant, huyu ni advocate!, mbola hiyo bilioni moja ni fees ya kesi moja tuu!. Hebu kaangalie ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG, kwenye ripoti ya BOT uone mwanasheria Mkono amelipwa kiasi gani kwenye kesi moja tuu ya Valambia!.

IMMA ni moja ya reputable law firms hapa mjini, nimeona young lowyers waliojiunga nayo juzi tuu, leo wameshavuta ma-vogue na ma Hammer barabarani, itakuwa hiyo bilioni?!.

Naona sasa hili jina has became an obsession to some, mwacheni jamani kijana na nyota yake, mtaifanya JF yote tuishie kuonekana tumuonea wivu, just givi him a break, let him alone!.

Duh!!!
 
...Come again?? IMMA ni moja ya reputable law firms hapa mjini? IMMA hii hii ambayo imetajwa tajwa sana kwenye mikataba mbali mbali inayotukamua hadi leo hii??

Unajua kuwa huko kuidhininisha kiasi kikubwa cha fedha alicholipwa mwanasheria Mkono kutoka taasisi ya serikali ndio Ufisadi wenyewe huo?

Hii nyota ya Riz1 unayosema ingekuwepo pia kama angekuwa ni mtoto wa mlalahoi ama inaongezewa charge ya kuwaka zaidi kutokana na kuwa kwake mtoto wa raisi??

So kwa mawazo yako ni kuwa madvocate wote wana uwezo wa kununua nyumba za shs Bilioni Moja na ku-own ma-Hummer na ma-Vogue baada ya muda mfupi tu wa kuwa kazini ili mradi tu wawe wameajiriwa na IMMA??
na bado huoni kuwa there must be something fishy here??

Conclusion: Ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali mazito kama hivi ndio maana ukombozi wa nchi hii utakuwa mgumu sana kupatikana.
 
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi Ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.

Ni hivi, ile nyumba alizawadiwa na Lowassa ipo maeneo ya Mikocheni maji machafu, unaingia njia ya Rose garden, then unakula kulia kama unakwenda nyuma za majaji wa mahakamua kuu, karibu na ofizi ya Mzamil katunzi. Ni ya kisasa kweli!
 
Dogo wa tujisenti huyo. Halafu cha kushangaza ni kwamba, atakuja kuwa presidaa wenu mtake msitake, chaguo la baba huyo!!! Nasubiri siku hiyo. Sijui nitakuwa nimesha retire utumishi wangu, maana nitapiga kampeni ya chinjachinja nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka.
haaaa Mungu saidia watoto wako wabadilike isitokee hiii!!:A S 13:
 
Mimi nilimpa offer ya hii kwa 1m yeye akataka ya 1bn

Chole%20nyumba.jpg
 
Kwa wenzetu matajiri ni wafanyabiashara, wasanii, watu vipaji maalum, wagunduzi. Kwetu matajiri ni WANASIASA, familia zao na wapambe wao.
 
ccm ndo tunasema huo ni wivu sasa mbona bilion 1 kwa nyumba (PRESIDENTIAL BUILDING) kawaida saana sioni tatizo kwa hili bwana!

Kaka unasema kweli? kawaaaida saaana!!
Wangapi wana uwezo huo?
 
Ama kweli Pasco!! Nilikuwa nakuamini.......................!!!!!
Mr. Zero, sasa huniamii tena! facts are sturbon things, wajemeni, issue isiwe kumiliki nyumba ya bilioni 1 bali mtu kuwa na bilioni moja kaipataje?, ndio maana Chenge akasema Dola milioni moja ni vijisenti tuu, issue kazipataje, kwa vile hajachukuliwa hatua zozote za kisheria maana yake ni halali.

Kuna thread huko nyuma niliwahi kusema, sisi Watanzania chuki binafsi zinatuponza, wahindi na waarabu ndio wamiliki wa karibu maghorofa yote makubwa Dar, wakiendesha sio tuu ma vogue hadi ferari na hana anauliza hata yule ni nani, sembuse kapa wapi fedha.

Akimiliki tuu mswahili, basi ndio inageuka nongwa, akipita mhindi na hammer, watu hawaulizani, akipita tuu mswahili, watu wanaulizana yule ni nani, wakisikia jina, then anafanya nini, pesa kapata wapi etc, etc.

Kama kuna real state agents humu, watuambie nyumba ya bilioni moja ndio ikoje kama ile ya gavana ni bilioni 4, hiyo nyumba ya bilioni moja ni ya kawaida sana tuu, na kuna watu wananyumba za bilioni 100! who cares!.

Angalizo: Msije dhania namtetea kijana kwa matendo yake, lakini tusiingilie sana uhuru wake binafsi, kisa ni mtoto wa rais, mwacheni!.
 
Back
Top Bottom