Ndo kwanza nazisikia leo, hata hivyo zimeandika na akina nani.
Mwenye soft ya pili pilipili atakuwa amenitendea wema sana akinipatiaWakuu habari za majukumu,naomba msaada wa kuweza kupata soft copy za riwaya za zamani kama titi la mama mkwe,dunia hadaa ulimwengu shujaa,pili pilipili,rosa mistika,doa jeusi(kisiwa chenye hazina) n.k
ahsanten