Riwaya za zamani

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
416
Wakuu habari za majukumu,naomba msaada wa kuweza kupata soft copy za riwaya za zamani kama titi la mama mkwe,dunia hadaa ulimwengu shujaa,pili pilipili,rosa mistika,doa jeusi(kisiwa chenye hazina) n.k
ahsanten
 
ni muda mrefu hakika umepita,na ni vigumu pia kuwakumbuka watunzi,kipindi hicho nilikuwa mdogo na mwili ulikuwa bado mwororo,hata hivyo nilifanikiwa tu kukumbuka majina ya hivyo vitabu
Ndo kwanza nazisikia leo, hata hivyo zimeandika na akina nani.
 
Mkuu hardcopy utapata,ila soft.. Cdhan,kumbuka vitabu vingi vya zamani teknolojia yetu ilikuwa chini sana.
 
Wakuu habari za majukumu,naomba msaada wa kuweza kupata soft copy za riwaya za zamani kama titi la mama mkwe,dunia hadaa ulimwengu shujaa,pili pilipili,rosa mistika,doa jeusi(kisiwa chenye hazina) n.k
ahsanten
Mwenye soft ya pili pilipili atakuwa amenitendea wema sana akinipatia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom