Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 4,313
- 10,017
Ukiwa umetokea Kagame Hotel unaenda kituo cha mwendokasi basi barabarani tu utaona kuna meza wanauza vitabu.Ubungo sehemu gani mkuu

Kwa heshima na taadhima naazima riwaya ya hofu na ya pesa zako zinanuka
Nahitaji soft copy au hard copy ya hivi vitabu. Napata wapi?!
Mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
Salamu toka kuzimu kipoRiwaya za Mtobwa zinaoatikana kwa 0712504985
Riwaya za Mtobwa zinaoatikana kwa 0712504985
Kikosi Cha Kisasi- A E MusibaKiu- E. Musiba
Hujuma- E. Musiba
Ni kweli Huwezi kuandika tena vitabu ambavyovimekwisha andikwa. labda uwe hayawani... kwa sasa vipo vipya tofauti na hivyoWakuu umofia kwenu,
Kwanza kabisa nampongeza Yeriko Nyerere kwa kujaribu kwake kusukuma gurudumu ili la uhandishi wa riwaya pendwa ya Kijasusi safi sana mkuu.
Kwa sasa vichwa ivi ni vichache mno kutokana na ukweli kwamba morali ya usomaji wa vitabu umeshuka kabisa watu wako busy facebook, whatsap, twitter n.k na hata huko vyuoni wanafunzi hurazimika kusoma riwaya pale tu anapopewa mjarabu (asignment) wa kikundi au binafsi au karibu na majaribio.
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu tumesoma riwaya labda tu wale tu waliochaguliwa kwenda shule za serikondari za ufundi baada ya kumaliza darasa la saba hata hivyo shule za msingi hata nyumbani waliwahi kusoma baadhi ya Riwaya.
Leo tujikumbushe baadhi ya Riwaya za Kiswahili zilizovuma sana Tanzania.
1.Siku ya Watenzi wote (1968) Shaaban Robert
2.Nyota ya Rehema (1978) M.S Mohamed
3.Dunia Mti Mkavu (1980) Said A.Mohamed
4.Rosa Mistika (1971) E.Kezilahabi
5.Alipanda Upepo Akavuna Tufani (1969) John N.Somba
6.Titi la Mkwe (1972) Alex Banzi
7.Kasri ya Mwinyi Fuad (1979) Shafi Adam Shafi
8.Kichwa Maji (1974)E.Kezilahabi
9.Kiu (1972)M.S.Mohamed
10.Tata za Asumini (1990)Said Ahmed Mohamed
11.Kifo cha Ugenini (1977)Olaf Msewa
12.Kaburi bila Msalaba (1971)M.Kareithi
13.Kuli (1976)Shafi Adam Shafi
14.Kwa Heri Iselamagazi (1992)B.Mapalala
15.Wimbo wa Sokomoko (1990)A.Lihamba
16.Ngome ya Mianzi (1991)M.M.Mulokozi
17.Ngoma ya Mianzi (1992)M.M.Mulokozi
18.Miradi Bubu ya Wazalendo (1992)G.Ruhumbika
19.Dunia Uwanja wa Fujo (1975)E.Kezilahabi
20.Adili na Nduguze (1952)Shabaan Robert
21.Kusadikika (1951)Shabaan Robert
22.Lila na Fila (1966)J.K.Kiimbila
23.Mbojo Simba-Mtu (1971)N.J.Kuboja
24.Mirathi ya Hatari (1977)C.Mung'ong'o
25.Nagona (1987)E.Kezilahabi
26.Mzingile (1991)E.Kezilahabi
27.Mafuta (1984)K.G.C.Mkangi
28.Mwisho wa Mapenzi (1972)Simbamwene J.
29.Kweli Unanipenda? (1978)Simbamwene J.
30.Jeraha la Moyo (1974)Kiango,S.D
31.Pete (1978)Komba,S.M
32.Kwa Sababu ya Pesa (1972)Simbamwene J.
33.Buriani (1975)F.Katalambula
34.Mtu Mwenye Miwani Meusi (1970)L.O.Omolo
35.Kifo Changu ni Fedheha (1972)S.J.Chadhoro
36.Tabu (1977)A.Komanya
37.Ufunguo wa Bandia (1979)Hmmie Rajab
38.Kikomo (1980)E.Musiba
39.Mzimu wa Watu wa Kale (1960)M.S.Abdulla
40.Kisima cha Giningi (1968)M.S.Abdulla
41.Duniani kuna Watu (1973)M.S.Abdulla
42.Siri ya Sifuri (1974)M.S.Abdulla
43.Mwana wa Yungi Hulewa (1976)M.S.Abdulla
44.Kosa la Bwana Msa (1984)M.S.Abdulla
45.Simu ya Kifo (1965)F.Katalambula
46.Muuaji ni nani? (1987)Simbamwene J.
47.Dimbwi la Damu (1984)Ben Mtobwa
48.Kijasho Chembamba (1980)Ganzel
49.Kikosi Cha Kisasi (1979)E.Musiba
50.Njama (1981)E.Musiba
51.Mpango (1982)K.M.Kassam
52.Tutarudi na roho Zetu? (1987)B.Mtobwa
53.Roho Mkononi (1984)Hammie Rajab
Unaweza ongezea zingine hapa.
Nicheki inbox zote zipoHivi naweza kupata wapi baadhi ya nakala za hizo riwaya na ni bei gani niko mwanza nyakato mwenye taarifa zaidi anijuze
Nadhani alikuwa anaitwa Agoro AnduruDunia uwanja wa fujo nilikisoma siku nyingi sana.Halafu alikuwepo mtunzi mzuri sana akiitwa Ogoro Anduru "Temptation and other stories" nilikuwa napenda kumsoma jamaa alikuwa vizuri sana katika uandishi wa vitabu.
Shida-BalisidyaHicho tulikisoma "O"level sijui siku hizi kama bado kinatumika au wameshakifuta.
Putula la maxWakuu umofia kwenu,
Kwanza kabisa nampongeza Yeriko Nyerere kwa kujaribu kwake kusukuma gurudumu ili la uhandishi wa riwaya pendwa ya Kijasusi safi sana mkuu.
Kwa sasa vichwa ivi ni vichache mno kutokana na ukweli kwamba morali ya usomaji wa vitabu umeshuka kabisa watu wako busy facebook, whatsap, twitter n.k na hata huko vyuoni wanafunzi hurazimika kusoma riwaya pale tu anapopewa mjarabu (asignment) wa kikundi au binafsi au karibu na majaribio.
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu tumesoma riwaya labda tu wale tu waliochaguliwa kwenda shule za serikondari za ufundi baada ya kumaliza darasa la saba hata hivyo shule za msingi hata nyumbani waliwahi kusoma baadhi ya Riwaya.
Leo tujikumbushe baadhi ya Riwaya za Kiswahili zilizovuma sana Tanzania.
1.Siku ya Watenzi wote (1968) Shaaban Robert
2.Nyota ya Rehema (1978) M.S Mohamed
3.Dunia Mti Mkavu (1980) Said A.Mohamed
4.Rosa Mistika (1971) E.Kezilahabi
5.Alipanda Upepo Akavuna Tufani (1969) John N.Somba
6.Titi la Mkwe (1972) Alex Banzi
7.Kasri ya Mwinyi Fuad (1979) Shafi Adam Shafi
8.Kichwa Maji (1974)E.Kezilahabi
9.Kiu (1972)M.S.Mohamed
10.Tata za Asumini (1990)Said Ahmed Mohamed
11.Kifo cha Ugenini (1977)Olaf Msewa
12.Kaburi bila Msalaba (1971)M.Kareithi
13.Kuli (1976)Shafi Adam Shafi
14.Kwa Heri Iselamagazi (1992)B.Mapalala
15.Wimbo wa Sokomoko (1990)A.Lihamba
16.Ngome ya Mianzi (1991)M.M.Mulokozi
17.Ngoma ya Mianzi (1992)M.M.Mulokozi
18.Miradi Bubu ya Wazalendo (1992)G.Ruhumbika
19.Dunia Uwanja wa Fujo (1975)E.Kezilahabi
20.Adili na Nduguze (1952)Shabaan Robert
21.Kusadikika (1951)Shabaan Robert
22.Lila na Fila (1966)J.K.Kiimbila
23.Mbojo Simba-Mtu (1971)N.J.Kuboja
24.Mirathi ya Hatari (1977)C.Mung'ong'o
25.Nagona (1987)E.Kezilahabi
26.Mzingile (1991)E.Kezilahabi
27.Mafuta (1984)K.G.C.Mkangi
28.Mwisho wa Mapenzi (1972)Simbamwene J.
29.Kweli Unanipenda? (1978)Simbamwene J.
30.Jeraha la Moyo (1974)Kiango,S.D
31.Pete (1978)Komba,S.M
32.Kwa Sababu ya Pesa (1972)Simbamwene J.
33.Buriani (1975)F.Katalambula
34.Mtu Mwenye Miwani Meusi (1970)L.O.Omolo
35.Kifo Changu ni Fedheha (1972)S.J.Chadhoro
36.Tabu (1977)A.Komanya
37.Ufunguo wa Bandia (1979)Hmmie Rajab
38.Kikomo (1980)E.Musiba
39.Mzimu wa Watu wa Kale (1960)M.S.Abdulla
40.Kisima cha Giningi (1968)M.S.Abdulla
41.Duniani kuna Watu (1973)M.S.Abdulla
42.Siri ya Sifuri (1974)M.S.Abdulla
43.Mwana wa Yungi Hulewa (1976)M.S.Abdulla
44.Kosa la Bwana Msa (1984)M.S.Abdulla
45.Simu ya Kifo (1965)F.Katalambula
46.Muuaji ni nani? (1987)Simbamwene J.
47.Dimbwi la Damu (1984)Ben Mtobwa
48.Kijasho Chembamba (1980)Ganzel
49.Kikosi Cha Kisasi (1979)E.Musiba
50.Njama (1981)E.Musiba
51.Mpango (1982)K.M.Kassam
52.Tutarudi na roho Zetu? (1987)B.Mtobwa
53.Roho Mkononi (1984)Hammie Rajab
Unaweza ongezea zingine hapa.
Wakuu umofia kwenu,

Kuna mtu anaitwa Hassan Adam kaviandika tena vimejaa pale SamoraNajua...
Hizo ngoma kali sana Mkuu.
Niliwahi kukisoma mtandaoni ila hakikuishaunafahamu kitabu kinaitwa kuli? kilikuwa kinamzungumzia mapambano ya ukoloni, kuna kijana anaitwa rashid nakitafuta kweli