Riwaya za Eric Shigongo

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,264
17,622
Vipi kuhusu Eric James Shigongo? Mbona anaandika sana hadithi, je yeye siyo gwiji kuzidi akina Hammie Rajab, Ben Mtobwa na Eddie Ganzel? Kuna watu wanadai kuwa anatafsiri riwaya za watu wengine je ni riwaya zipi?nkwenye ushahidi kuwa anakopi amwage hapa la sivyo JF imtambue kama magwiji wengine wa riwaya za Kiswahili Kama akina Agoro Anduru au John Rutaisingwa au Elvis Musiba
 
Mkuu,Shigongo hayupo katika level ya hao magwiji ulowataja. Achana nao kabisa hao!
 
Vipi kuhusu Eric James Shigongo? Mbona anaandika sana hadithi, je yeye siyo gwiji kuzidi akina Hammie Rajab, Ben Mtobwa na Eddie Ganzel? Kuna watu wanadai kuwa anatafsiri riwaya za watu wengine je ni riwaya zipi?nkwenye ushahidi kuwa anakopi amwage hapa la sivyo JF imtambue kama magwiji wengine wa riwaya za Kiswahili Kama akina Agoro Anduru au John Rutaisingwa au Elvis Musiba

mtafsiri wa riwaya za watu wengine kwa kupachika majina ya watu, mazingira na mitaa ya bongo huwezi kumwita mtunzi wa hadithi. Ni mwizi wa kazi za wengine
 
Jambazi muuaji kama shigongo mwenye elimu finyu tena ya magumashi huwezi kumlinganisha na mtunzi nguli kama Elvis Msiba(rip)!!
Kwa sisi tunaomfahamu huyo jamaa nauhakika tunzi za hao legends unaomlinganisha nao alianza kuzisoma mwishoni mwa miaka ya 90. Back then, this guy was involving in a massive frauds and inhumanity activities!
 
kwa kuwa wewe pimbi unatumia simu kubrowse internet unadhani kila mtu anafanya hivyo...gadem you.
Acha maneno mengiete ushahidi wa kazi alizoiba (kuzifanya kwa kiswahili kisha kusema zake)baada ya hapo utaaminika.
Maneno mengi ya nini wakati umepewa kazi ndogo kulikoa hata kugunfua jicho lako.
Tunataka ushahidi kuwa ameiba,hayo kusoma mtandaoni kaa nayo mbali kabisa maana mwanaume siku hizi tunapasua mabook tunayoyaona huko mtandaoni (yalikoa andika muhtasari) na kuyasaka kila pande ili tuyasome.
Tupe basi link zinazoonyesha wizi wa Shigongo,kama hauna tumia tu comment yako ifutiwe mbali kwa kuzungumza uongo.
 
Back
Top Bottom