Riwaya : "Tutarudi na roho zetu..??" Mwanzo - Mwenga

SHAMAC

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
1,343
3,560
HADITHI HII KUTOKA KATIKA KITABU CHA 'TUTARUDI NA ROHO ZETU' KITABU KILICHOANDIKWA NA MTUNZI WA RIWAYA ZA KUSISIMUA ZA UPELEELEZI, BEN R. MTOBWA. BAADA YA KUANDIKA KITABU HIKI BEN R. MTOBWA ALITOA KIDOKEZO KUWA 'IWE ZAWADI YAKE KWA KILA MWANAMAPINDUZI WA AFRIKA'.

Sasa fuatana nami ,ila ukuje na likes zako, nikupe sindano za nguvu kama kawaida yangu, sina roho ya korosho, no arosto, no kuishia kanisani...!!

ITAANZA PUNDE BAADA YA KUKAMILISHA TARATIBU ZA KISHERIA NA MUHUSIKA, KUWENI MACHO WADAU WANGU WA NGUVU ( Kwa ambao hawajaisoma hii ni riwaya moja matatizo). NISIWACHOSHE...!!

mtzmweusi
lutamyo
ngong'0
nachid
swahiba92
pumzihaiuzwi
lutamyo
 
Mkuu, Je umeruhusiwa kukituma huku lakini? Je, wajua ni marufuku kukinakili na kukitumia humu bila ruhusa ya mwenye hatimiliki?

Je wajua, mtoto wake yupo humu na ndiye msimamizi wa kazi za Baba yake? Hebu tafuta jinsi uwasiliane naye kabla hujaitupia ili kuepusha zari mbeleni.
 
Cc joseverent
 
Akili zako zimezidi maarifa..!! Big up Mkuu...! umenikosoa vyema na Mungu saidia sijaanza hata aya moja, Ngoja nifanye taratibu hizo kwa hakika...!!
 
Back
Top Bottom