Riwaya: Siri

Komredi hivi huyu mtunzi katoa kitabu,, mana Nataka ninunue Kesho nijisomee huku nikishushia na absolutely vodka
Kwakweli huyu jamaa ni mtunzi bora kabisa kwasasa. Mi najua kuwa anauza mtandaoni tu. Mcheki kwa hizo namba kama anachapisha hard copy.
 
Iyo simulizi ya Paniela I wapi mkuu nikajinonoe nayo pia
Ipo humu ..mtafute somebody anaitwa lege ...aliwahi kuipost humu ..itafute hiyo peniela na miss tanzania i bet hautojuta kuzufuatilia ..nina uhakika tangu uanze kusoma theory za wabongo haujawahi kusoma simulizi tamu na nzuri kama hizo
 
Jamani si mtutupie mlio soma yaani alosto kali sana
Dah pole nduguu mm kuna mkalii wao kanitumia muendelezo big up sana kwake,(natamani nimtaje ila hofu yangu sijui kama atapenda)ombeni na mtapewa asee, ngoja ni Jifunze kutumia ma pm nikutumie na ww
 
Mkuu kama hutojali naomba unitumie na mimi
Dah pole nduguu mm kuna mkalii wao kanitumia muendelezo big up sana kwake,(natamani nimtaje ila hofu yangu sijui kama atapenda)ombeni na mtapewa asee, ngoja ni Jifunze kutumia ma pm nikutumie na ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom