luvie pearl
Member
- Jun 20, 2019
- 91
- 65
Na mimi naungana na wajumbe, part two iwekwe hapahapa
Wasiliana na Patrick upate part II, Mathew yupo na anatisha zaidi. Iko Bomba sana Patrick anatisha.Mwandishi kongole lakini tulitaka Mathew Mulumbi apatikane na amalizie game twaisubiri part two
Wasiliana na Patrick ununueNa mimi naungana na wajumbe, part two iwekwe hapahapa
Nigei namba zake mkuuuuBy the way sasa hivi tupo part 3
W
Wasiliana na Patrick ununue
Ina maana zipo ngapBy the way sasa hivi tupo part 3
+255764294499 - PATRICK KIFUKUIna maana zipo ngap
Mawasiliano yake tafadhal
Wasiliana nae +255764294499 - PATRICK KIFUKUPatric anauza pesa ngapi???
+255764294499 - PATRICK KIFUKUNigei namba zake mkuuuu
By the way sasa hivi tupo part 3
Kwakweli huyu jamaa ni mtunzi bora kabisa kwasasa. Mi najua kuwa anauza mtandaoni tu. Mcheki kwa hizo namba kama anachapisha hard copy.Komredi hivi huyu mtunzi katoa kitabu,, mana Nataka ninunue Kesho nijisomee huku nikishushia na absolutely vodka
Shukrani KomrediKwakweli huyu jamaa ni mtunzi bora kabisa kwasasa. Mi najua kuwa anauza mtandaoni tu. Mcheki kwa hizo namba kama anachapisha hard copy.
Nahitaji baadhi ya Episode za Part3.. Nadhani Niko kama season 3.Kwakweli huyu jamaa ni mtunzi bora kabisa kwasasa. Mi najua kuwa anauza mtandaoni tu. Mcheki kwa hizo namba kama anachapisha hard copy.
Ipo humu ..mtafute somebody anaitwa lege ...aliwahi kuipost humu ..itafute hiyo peniela na miss tanzania i bet hautojuta kuzufuatilia ..nina uhakika tangu uanze kusoma theory za wabongo haujawahi kusoma simulizi tamu na nzuri kama hizoIyo simulizi ya Paniela I wapi mkuu nikajinonoe nayo pia
Wasiliana tu na Patrick. Kwasasa tunasubiria season six (6) natumaini ipo njiani sana.Nahitaji baadhi ya Episode za Part3.. Nadhani Niko kama season 3.
Wasiliana tu na Patrick. Kwasasa tunasubiria season six (6) natumaini ipo njiani sana.
Dah pole nduguu mm kuna mkalii wao kanitumia muendelezo big up sana kwake,(natamani nimtaje ila hofu yangu sijui kama atapenda)ombeni na mtapewa asee, ngoja ni Jifunze kutumia ma pm nikutumie na wwJamani si mtutupie mlio soma yaani alosto kali sana
Dah pole nduguu mm kuna mkalii wao kanitumia muendelezo big up sana kwake,(natamani nimtaje ila hofu yangu sijui kama atapenda)ombeni na mtapewa asee, ngoja ni Jifunze kutumia ma pm nikutumie na ww