RIWAYA: Mtutu wa Bunduki (1 - 3)

Wakuu hapo nyuma mpaka leo nilikuwa nawasiliana kwa karibu na mtunzi. Kasema niwatoe hofu kuwa tutaendelea kupata riwaya hii tamu kuanzia ijumaa ya wiki ijayo pale atakapokuwa ameweka mambo yale sawa. Kiufupi mwandishi kawapenda wasomaji wote wa riwaya zake na kama zawadi amenipa riwaya zake mbili niwatumie msome. Moja inaitwa TAI KWENYE MZOGA na nyingine inaitwa MIFUPA 206 msiwr na wasi wasi kabisa. Pia endeleeni kuwasiliana na mtunzi kwa ajiri ya nakala zenu za liwaya ya UFUKWE WA MADAGASCAR, MIFUPA 206 na TAI KWENYE MZOGA
huyu jamaa anauzaje vitabu vyake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom