RIWAYA: Mtutu wa Bunduki (1 - 3)

Wakuu hapo nyuma mpaka leo nilikuwa nawasiliana kwa karibu na mtunzi. Kasema niwatoe hofu kuwa tutaendelea kupata riwaya hii tamu kuanzia ijumaa ya wiki ijayo pale atakapokuwa ameweka mambo yale sawa. Kiufupi mwandishi kawapenda wasomaji wote wa riwaya zake na kama zawadi amenipa riwaya zake mbili niwatumie msome. Moja inaitwa TAI KWENYE MZOGA na nyingine inaitwa MIFUPA 206 msiwr na wasi wasi kabisa. Pia endeleeni kuwasiliana na mtunzi kwa ajiri ya nakala zenu za liwaya ya UFUKWE WA MADAGASCAR, MIFUPA 206 na TAI KWENYE MZOGA
ufukwe hajaimalizia humu, anasema tukamalizia kwenye kitabu nmesikitika maana nmemmiss Tiba ganza
 
Wakuu hapo nyuma mpaka leo nilikuwa nawasiliana kwa karibu na mtunzi. Kasema niwatoe hofu kuwa tutaendelea kupata riwaya hii tamu kuanzia ijumaa ya wiki ijayo pale atakapokuwa ameweka mambo yale sawa. Kiufupi mwandishi kawapenda wasomaji wote wa riwaya zake na kama zawadi amenipa riwaya zake mbili niwatumie msome. Moja inaitwa TAI KWENYE MZOGA na nyingine inaitwa MIFUPA 206 msiwr na wasi wasi kabisa. Pia endeleeni kuwasiliana na mtunzi kwa ajiri ya nakala zenu za liwaya ya UFUKWE WA MADAGASCAR, MIFUPA 206 na TAI KWENYE MZOGA
leta ya mifupa 206
 
Bila shaka ijumaa ni leo mkuu,
 
Sio wasomaji wote wapo tz.kama anafanya biashara basi ni bora aitume kwa njia ya wassap.walio mbali ya tz na wao wasome. Hata akiuza kwa episode. Atapata tu.kuna Mtunzi moja humu alikuwa anafanya hivyo
 
Tai Kwa mzoga ,mifupa 206, ufukwe Wa Madagascar
Vitabu vishatoka zamani viko pale Kona ya riwaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom