Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Shukrani sana. Stori hii niliisikia sana ikisifiwa na Kaka zangu enzi hizo, for real it's interesting
 
Nami niwashukuru wote waliochukua muda wao kutuletea uhondo huu.. kudos
 
Mzee Musiba alikuwa na exposure ya mazingira tofauti na Tanzania kwa kupindi kile ,ukichanganya na baadhi ya Novel alizokuwa anasoma hasa hasa za JH Chase aliweza kutengeneza Novels nzuri za kiswahili akibase sana kwenye Harakati za ukombozi ,pamoja na kuwa Muhasibu aliweza kuandika vzr na really alikuwa msanii,najaribu kumlinganisha na Zahri Zoro pamoja na kuwa Mwanamuziki alikuwa mwandishi mzr wa hadithi hasa za kipererezi mf .Unyama wa Mafiamob

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Riwaya kama bado mbichi vile
e0bbf1a4d940f8335dcc8b6c440b2a32.jpg
1f38c693eed36067b544cc850e472299.jpg
03e823b3fb2bd26bd3edb3aa3c411cd4.jpg
[/QUOTE
 
Habari zenuu wapendwa...

Wakuu naombeni mnisaidie link ya uzi wenye riwaya ya Kikosi cha kisasi..
Nimeitafita nimekosa so nisaidieni wapendwa..

Au mnitag..

Pamoja sana Brothers n Sister...

-Mondie-
 
Habari zenuu wapendwa...

Wakuu naombeni mnisaidie link ya uzi wenye riwaya ya Kikosi cha kisasi..
Nimeitafita nimekosa so nisaidieni wapendwa..

Au mnitag..

Pamoja sana Brothers n Sister...

-Mondie-

Gentries

Angalia hii mada utapata ulichokuwa unakitafuta
 
Back
Top Bottom